Sherlock
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 1,375
- 1,362
Inaitwa midlife refitting.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa midlife refitting.
MV Dar es salaam huijui wewe!?Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
1) J - 7,
2) 3rd generation jet fighter
3) Maximum speed 2200 Km/h
4) Radar capacity 200Km
5) It can fire lesser guided missiles
6)Model. 2012 (Brand New acquired)
Tunazo 14
Angalia hapo zinapita zikifanya mazoezi. Hahahaha, Hahahaha.
Nilikuambia hujui chochote kuhusu hizi missiles na generations unashindanga ukisema.Acheni ubishi wa kijinga, nendeni mkanunue ndege za kisasa. Uganda ana SU30 toka Urusi, anazo 6,(3rd generation), Tanzania tunazo J-7, zipo 14 brand new (3rd generation), Kenya mnazo F-5, zipo 5 (2nd Generation), na zimechakaa sana.
Taarifa za kijeshi mnazobishania sio uhalisia wa mambo, nguvu za kijeshi ni siri na hubaki hivyo tu so usijimwambafy mkuuMimi mpaka sasa nimeshindwa kuamini Tanzania hawana meli za kivita ilhali wana bahari, yaani hawa ni wa kuhurumiwa, nilishangaa sana juzi eti hata radar za angani walikua wanatumia zetu.
Taarifa za kijeshi mnazobishania sio uhalisia wa mambo, nguvu za kijeshi ni siri na hubaki hivyo tu so usijimwambafy mkuu
Ukitaka kuona Meli za TZ njoo hapa Navy Kigamboni halafu jaribu kupiga picha?Wacha kuchekesha wewe, meli ya kivita utaficha wapi, kwanza hizi nchi za Kiafrka shithole kuna nini cha maana hadi ufiche, hehehe!!
Hahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.Nilikuambia hujui chochote kuhusu hizi missiles na generations unashindanga ukisema.
Hahaa so unataka kumaanisha hata su 30 ya 1996 ama hata hiyo J7 ju ni ya 2013 ni powerful kuliko F 15 ya 1976?...Hahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.
Hata nikikupa link utachange goal post. Btw hio j7 hakuna kitu inaeza fanyia F 5 E tiger IIHahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.
Tunaomba inventory ya KAF please, au weka picha tuone ndege mlizonazo. Siku ya Mashujaa silaha zote huonyeshwa, au ndege zenu zimefungiwa ndani ya Chumba?Hata nikikupa link utachange goal post. Btw hio j7 hakuna kitu inaeza fanyia F 5 E tiger II
ambazo ndo unapenda kuongea kuhusu.
Strategic Intelligence Service – Strategic Intelligence Service › keny...
Kenya Air Force May Have Acquired 8 Israeli F-15 Strike Eagles – Strategic ...
Tunaomba inventory ya KAF please, au weka picha tuone ndege mlizonazo. Siku ya Mashujaa silaha zote huonyeshwa, au ndege zenu zimefungiwa ndani ya Chumba?
Kwanini hawakuonyesha z 9w na puma Kama silaha zote zilioneshwa?Tunaomba inventory ya KAF please, au weka picha tuone ndege mlizonazo. Siku ya Mashujaa silaha zote huonyeshwa, au ndege zenu zimefungiwa ndani ya Chumba?
Acha Maneno Mengi, weka link yoyote inayozungumzia KAF's inventory, hii hapa ya Tanzania Air force commanderKwanini hawakuonyesha z 9w na puma Kama silaha zote zilioneshwa?
www.africanaerospace.aero
Acha ujanja ujanja, pale Mwanza ukichukua Aerial view, utaona retired jets fighters nyingi sana, hizi ni retired jets fighters.How many jet variants do you see?
View attachment 1242909
Sasa kwa hizo ndege zote mna nini ya maana?Acha Maneno Mengi, weka link yoyote inayozungumzia KAF's inventory, hii hapa ya Tanzania Air force commander
The rise and rise of Tanzania's Air Force | Times Aerospace
www.africanaerospace.aero
HahaaAcha ujanja ujanja, pale Mwanza ukichukua Aerial view, utaona retired jets fighters nyingi sana, hizi ni retired jets fighters.
Hilo sasa ni swali tofauti, kwanza nilitaka ukubali kwamba TPDF sio level yenu. Kwasababu umekubali, sasa ndio tutazungumza umuhimu wake.Sasa kwa hizo ndege zote mna nini ya maana?
Mimi mpaka sasa nimeshindwa kuamini Tanzania hawana meli za kivita ilhali wana bahari, yaani hawa ni wa kuhurumiwa, nilishangaa sana juzi eti hata radar za angani walikua wanatumia zetu.
How many jet variants do you see?
View attachment 1242909