TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nadhani mkuu ukipata wasaa twaomba utufundishe namna ya kuleta habari hapa jukwaani "as Whistleblow". Kuna uwezekano mkubwa wengi wetu hatujui kuleta habari katika mtindo huo....na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
BITEKO siyo mtu safi hata kidogo.QUOTE="Pascal Mayalla, post: 40859523, member: 17813"]
Wapenda haki wakiona mtu yoyote hatendewi haki, hujitokeza kumtetea, kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya tuhuma, sio tuhuma za kweli, ni chuki binafsi tuu.
Ndio maana nimeshauri, ukituhumu, leta na uthibitisho. Ukipata tuhuma za hearsay tuu zisizo na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
P
Yes ataondoka na kila mtu ataondoka, hakuna atakayeishi milele. Hoja yangu hapa ni watu watuhumiwe kwa tuhuma za haki, na ikibidi waondolewe, then, waondolewe kwa haki kwa tuhuma za ukweli na sio waondolewe kwa kupikiwa majungu.Bitecore must go out
The Pascal Mayalla I know.lakini sio wateuliwa wote wa kabila hilo wameteuliwa kwa nepotism, walioteuliwa kwa kubebwa tuu, halafu can't perfom, can't deliver, ni right kutumbuliwa, lakini hii witch hunt kuwa target wote wa kanda pendwa , hata wale the clean ones who delivers, kwa kuwapikia majungu, kuwazushia tuhuma za uzushi, uongo, fitna na majungu, halafu wakasikilizwa, karma haitakubali, karma hainaga mswalie Mtume. Watu watuhumiwe kwa haki na waadhibiwe kwa haki na sio kimajungu majungu. Mimi ni muumini number 1, kuwa hakuna kitu kinachoitwa the "Sukuma Gang".
Hawa wanaleta kelele tu zisizo na mashiko. Hivi kable ya Dotto na Magu kuingia madarakani Tanzania ilisifika kwa uuzaji wa Tanzanite? Au tulibaki kusikia India, South Africa na Kenya ndio wauzaji wakubwa.Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.
- Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
- Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
- Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
- Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
- Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
- Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.
Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.
Ukimzikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.
Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.
Paskali.
Utatapika sana.Msukuma mwenzako huyo, una njaa hivyo kumkingia kifua ili angalau akupooze hiyo njaa siyo mbaya!
Wasukuma mmeamka sasa baada ya kuamshwa na mwendazake....
Naungana na wewe kwa hili.
Lkn Pascally kwa jinsi upepo wa kisiasa hapa nchini kwetu hasa kutoka ndani ya ccm kuna makundi yamezuka hasa baada ya kifo cha marehemu magufuli.
Kuna makundi yanaendeleza malumbano kwa kuiona awamu ya 5 ilikuwa mzuri na imara kuliko awamu ya 6 na watu wanaongea bila ya uoga.
Binafsi naona mh Biteko anaingizwa kwenye hizo tuhuma kisa asili yake ya alipo pata huo uwaziri na wapi alipo zaliwa .
Siamini kama utanielewa ila hayo ni mawazo yangu binafsi.
Kuna thread ipo huku ilizungumzia hiyo kauli yake, but simply alichosema ni kwamba; "kuna wizi wa madini ya Tanzanite unafanyika kwa kiasi kikubwa na sasa sio siri tena kila mtu anajua" akawaagiza TAKUKURU kushughulikia hilo suala.Mkuu denooJ , thanks for this, ila sijapata bahati kumsikia waziri mkwe kasema nini!, please share links.
P
Kuna vitu vingine vinaleta ukakasi sema tu sisi walaji wa hizo huduma hatuna mamlaka za kuchagua.Mkuu Mmawia , nakuelewa sana kuliko unavyodhani. Kwanza ni kweli awamu ya 5 hawakuwa malaika, na ni kweli kuna watu waliteuliwa kwasababu zile za kanda pendwa, ni kosa kufanya nepotism, kwa kuwateua watu wa kabila lako, lakini sio wateuliwa wote wa kabila hilo wameteuliwa kwa nepotism, walioteuliwa kwa kubebwa tuu, halafu can't perfom, can't deliver, ni right kutumbuliwa, lakini hii witch hunt kuwa target wote wa kanda pendwa , hata wale the clean ones who delivers, kwa kuwapikia majungu, kuwazushia tuhuma za uzushi, uongo, fitna na majungu, halafu wakasikilizwa, karma haitakubali, karma hainaga mswalie Mtume. Watu watuhumiwe kwa haki na waadhibiwe kwa haki na sio kimajungu majungu. Mimi ni muumini number 1, kuwa hakuna kitu kinachoitwa the "Sukuma Gang".
P
Ndugu yangu Pascal mbona kama umewatengenezea TAKUKURU ToR ya uchunguzi wao ulioagizwa juzijuzi na Mchengerwa? Umeua kabisa badala ya kumtetea Biteko.Wapenda haki wakiona mtu yoyote hatendewi haki, hujitokeza kumtetea, kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya tuhuma, sio tuhuma za kweli, ni chuki binafsi tuu.
Ndio maana nimeshauri, ukituhumu, leta na uthibitisho. Ukipata tuhuma za hearsay tuu zisizo na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
Tuhuma sio lazima ziwe na ushahidi. Upo ushahidi wa kimazingira inakubalika. Nikisema Magufuli ndiye aliyeamuru lissu auawe, siwezi kutoa ushahidi ila ushahidi wa kimazingira unaonyesha hivyo. Wasukuma tulieni kidogo mmetuharibia nchi kiasi kikubwaWanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.
- Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
- Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
- Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
- Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
- Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
- Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.
Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.
Ukimzikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.
Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.
Paskali.
Huyo jpm unaye muota tayari Mungu kesha mtwaa kitambo ndugu .Baada ya kusoma uzi bora kabisa wa Pascal Mayalla hii comment imenitafakarisha sana na kuona wazi wazi right kama Tanzania kungekuwa na Chama Imara ya Upinzani basi 2025 tungeshuhudia mabadiliko makubwa sana ya kisiasa nchini. Ni bahati mbaya sana kwamba pamoja na vyama vya upinzani tulivyonavyo kuwa na wafuasi, bado hakuna chama chenye FALSAFA, DIRA WAZI, HEJEMONIA NA MFUMO WA NDANI ULIO IMARA.
Binafsi siyo mfuasi wa chama chochote cha kisiasa nchini japo kama Mtanzania na kama mwanadamu na zaidi kama masomi ni lazima niifahamu siasa kwani ndiyo inayoongoza mifumo yote ya kijamii, uchumi, utamaduni, maamuzi n.k.
Kwa sasa CCM haina uimara thabiti kama kipindi cha JPM na haina mtetezi mwenye ushawishi na nguvu kama BWM. Hii ni departing point nzuri kwa vyama vya upinzani kupenya na kujiimarisha hata kwa kuchota wanaCCM ambao unaona wazi wanahitalafiana ndani ya chama. Bunge likiwa na upinzani ndiyo njia pekee ya kufanya chama tawala kuwajibika na kujitahidi kuwa safi walau hata kidogo. Ni dhahiri kwamba mabadiliko makubwa ya kisiasa ambayo tumeyaona nchini Tanzania kati ya mwaka 2005-2015 yalisababishwa na vyama vya upinzani hasa CDM NA nccr. Ufisadi na wizi mwingi uliibuliwa na wapinzani na kama mtu ni mzuri wa fikra atakubaliana nami kuwa hii ndo ilikuwa point of departure hadi kupatikana kwa “JPM A MAN”.
Ni vema wakafanya uchunguzi kwa mtuhumiwa na kama watamkuta na dhambi ni vema akahukumiwa kwa matendo yake.Ndugu yangu Pascal mbona kama umewatengenezea TAKUKURU ToR ya uchunguzi wao ulioagizwa juzijuzi na Mchengerwa? Umeua kabisa badala ya kumtetea Biteko.
Bahati mbaya hawana ushawishi tena maana kundi lenyewe lengo wake ni wa kikabila sana.Sukuma gang kazini kutakasana
Mtajuana nyinyi wenyewe na hapo bado lazima mtoane ngeu.Huyu Ngungenge ni February,leo kaanzisha uzi kumbeza Prof.Mkenda
Mpenda haki asiyependa haki itendeke kwa chadema, hongera mkuu kwa kupenda haka biasedWapenda haki wakiona mtu yoyote hatendewi haki, hujitokeza kumtetea, kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya tuhuma, sio tuhuma za kweli, ni chuki binafsi tuu.
Ndio maana nimeshauri, ukituhumu, leta na uthibitisho. Ukipata tuhuma za hearsay tuu zisizo na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
P
Sukuma Gang Mlishangilia Sana UbaguziWanabodi,