Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

QUOTE="Pascal Mayalla, post: 40859523, member: 17813"]
Wapenda haki wakiona mtu yoyote hatendewi haki, hujitokeza kumtetea, kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya tuhuma, sio tuhuma za kweli, ni chuki binafsi tuu.

Ndio maana nimeshauri, ukituhumu, leta na uthibitisho. Ukipata tuhuma za hearsay tuu zisizo na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
P
BITEKO siyo mtu safi hata kidogo.

Nenda kafanye utafiti kwa kuongea na wafanyabiashara wakubwa wa migodi wakueleze namna Dotto anavyokusanya bongo bila aibu kutoka kwao.

Vilevile, upendeleo wa wazi na tuhuma zilizo bayana kuwa ana maslahi na kampuni ya usafirishaji mafuta ya mitambo katika mgodi wa GGM ni uchafu kwake na inamuondolea kabisa heshima yake kwa jamii.
[/QUOTE]
Wewe tuambie ni mfanyabiashara yupi na yupi kaombwa pesa ili tumface direct.otherwise haya uliyoandika bado ni majungu.
 
lakini sio wateuliwa wote wa kabila hilo wameteuliwa kwa nepotism, walioteuliwa kwa kubebwa tuu, halafu can't perfom, can't deliver, ni right kutumbuliwa, lakini hii witch hunt kuwa target wote wa kanda pendwa , hata wale the clean ones who delivers, kwa kuwapikia majungu, kuwazushia tuhuma za uzushi, uongo, fitna na majungu, halafu wakasikilizwa, karma haitakubali, karma hainaga mswalie Mtume. Watu watuhumiwe kwa haki na waadhibiwe kwa haki na sio kimajungu majungu. Mimi ni muumini number 1, kuwa hakuna kitu kinachoitwa the "Sukuma Gang".
The Pascal Mayalla I know.

Thank you.
 
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..

Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
  1. Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
  2. Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
  3. Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
  4. Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
  5. Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
  6. Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.

Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.

Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.

Ukimzikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.

Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.

Paskali.

Hawa wanaleta kelele tu zisizo na mashiko. Hivi kable ya Dotto na Magu kuingia madarakani Tanzania ilisifika kwa uuzaji wa Tanzanite? Au tulibaki kusikia India, South Africa na Kenya ndio wauzaji wakubwa.

Magufuli na serikali waliwabana sana watorosha madini ndio maana wapo hapa kulalamika. Tanzanite one mlichukulia kinyemela na kujilia kiulaini, vipi hamtaki mbanwe ili kutoa fursa ya serikali kukusanya mapato halisi?
 
Msukuma mwenzako huyo, una njaa hivyo kumkingia kifua ili angalau akupooze hiyo njaa siyo mbaya!
Wasukuma mmeamka sasa baada ya kuamshwa na mwendazake....
Utatapika sana.
 
P nakuheshimu Sana humu

Lakn uwepo wako Arusha kuripoti ule mkutano na biteko alikuwepo pale Kama mtoa mada nahisi kuna kitu kinaendelea

Nakukumbusha TU ACHA MUDA UTAAMUA WENYEWE SI WAKATI WA KUTUMIA MADODOKI HUU

Kila mtu atalipa kwa muda wake
 
Naungana na wewe kwa hili.

Lkn Pascally kwa jinsi upepo wa kisiasa hapa nchini kwetu hasa kutoka ndani ya ccm kuna makundi yamezuka hasa baada ya kifo cha marehemu magufuli.

Kuna makundi yanaendeleza malumbano kwa kuiona awamu ya 5 ilikuwa mzuri na imara kuliko awamu ya 6 na watu wanaongea bila ya uoga.

Binafsi naona mh Biteko anaingizwa kwenye hizo tuhuma kisa asili yake ya alipo pata huo uwaziri na wapi alipo zaliwa .

Siamini kama utanielewa ila hayo ni mawazo yangu binafsi.

Baada ya kusoma uzi bora kabisa wa Pascal Mayalla hii comment imenitafakarisha sana na kuona wazi wazi right kama Tanzania kungekuwa na Chama Imara ya Upinzani basi 2025 tungeshuhudia mabadiliko makubwa sana ya kisiasa nchini. Ni bahati mbaya sana kwamba pamoja na vyama vya upinzani tulivyonavyo kuwa na wafuasi, bado hakuna chama chenye FALSAFA, DIRA WAZI, HEJEMONIA NA MFUMO WA NDANI ULIO IMARA.

Binafsi siyo mfuasi wa chama chochote cha kisiasa nchini japo kama Mtanzania na kama mwanadamu na zaidi kama masomi ni lazima niifahamu siasa kwani ndiyo inayoongoza mifumo yote ya kijamii, uchumi, utamaduni, maamuzi n.k.

Kwa sasa CCM haina uimara thabiti kama kipindi cha JPM na haina mtetezi mwenye ushawishi na nguvu kama BWM. Hii ni departing point nzuri kwa vyama vya upinzani kupenya na kujiimarisha hata kwa kuchota wanaCCM ambao unaona wazi wanahitalafiana ndani ya chama. Bunge likiwa na upinzani ndiyo njia pekee ya kufanya chama tawala kuwajibika na kujitahidi kuwa safi walau hata kidogo. Ni dhahiri kwamba mabadiliko makubwa ya kisiasa ambayo tumeyaona nchini Tanzania kati ya mwaka 2005-2015 yalisababishwa na vyama vya upinzani hasa CDM NA nccr. Ufisadi na wizi mwingi uliibuliwa na wapinzani na kama mtu ni mzuri wa fikra atakubaliana nami kuwa hii ndo ilikuwa point of departure hadi kupatikana kwa “JPM A MAN”.
 
Mkuu denooJ , thanks for this, ila sijapata bahati kumsikia waziri mkwe kasema nini!, please share links.
P
Kuna thread ipo huku ilizungumzia hiyo kauli yake, but simply alichosema ni kwamba; "kuna wizi wa madini ya Tanzanite unafanyika kwa kiasi kikubwa na sasa sio siri tena kila mtu anajua" akawaagiza TAKUKURU kushughulikia hilo suala.

Nikajiuliza kama waziri shemeji anayajua haya, kwanini asimwambie mwenzake coz Biteko nae inawezekana akawa anazungukwa na wajanja asijue, yeye sio malaika; lakini nilipokuja kukumbuka kauli ya mkuu siku ya hotuba yake fulani aliposema licha ya ukuta wa Mererani Tanzanite bado inaibwa, nikajua hapa kuna mkono mrefu kwenye hii issue.

Naona wote wanatuhumu tu, kwanini wasifanye uchunguzi kwa mamlaka waliyonayo waje na majibu kuliko kuendeleza maneno maneno kila siku bila kuchukua hatua zozote? hii ndio sababu inayonifanya nihisi kuna mpango wa chini inawezekana kuna mtu wao anatengenezewa njia wameshaona unyeti wa ile wizara wanataka kumuweka mtu wao.
 
Hili suala ni Bora kila member humu jf akakaa kimya kulinda heshima yake maana-
1.unaweza ukatuhumu kumbe ni uongo
AU
2. Unaweza ukatetea kumbe ni kweli.

Tujaribu kuwa wavumilivu muda utasema tuu,lakini waziri Dotto biteko naona kelele zimemuandama Sana nahisi Kuna kundi limeshadhamiria kushusha.
 
Mkuu Mmawia , nakuelewa sana kuliko unavyodhani. Kwanza ni kweli awamu ya 5 hawakuwa malaika, na ni kweli kuna watu waliteuliwa kwasababu zile za kanda pendwa, ni kosa kufanya nepotism, kwa kuwateua watu wa kabila lako, lakini sio wateuliwa wote wa kabila hilo wameteuliwa kwa nepotism, walioteuliwa kwa kubebwa tuu, halafu can't perfom, can't deliver, ni right kutumbuliwa, lakini hii witch hunt kuwa target wote wa kanda pendwa , hata wale the clean ones who delivers, kwa kuwapikia majungu, kuwazushia tuhuma za uzushi, uongo, fitna na majungu, halafu wakasikilizwa, karma haitakubali, karma hainaga mswalie Mtume. Watu watuhumiwe kwa haki na waadhibiwe kwa haki na sio kimajungu majungu. Mimi ni muumini number 1, kuwa hakuna kitu kinachoitwa the "Sukuma Gang".
P
Kuna vitu vingine vinaleta ukakasi sema tu sisi walaji wa hizo huduma hatuna mamlaka za kuchagua.

Mtu kama Kalemani binafsi kwa kutumia macho ya kawaida sikuona umuhimu wa kumfanyia substitute kwa Makamba. Sikuona na bado siioni tu.
 
Wapenda haki wakiona mtu yoyote hatendewi haki, hujitokeza kumtetea, kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya tuhuma, sio tuhuma za kweli, ni chuki binafsi tuu.

Ndio maana nimeshauri, ukituhumu, leta na uthibitisho. Ukipata tuhuma za hearsay tuu zisizo na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
Ndugu yangu Pascal mbona kama umewatengenezea TAKUKURU ToR ya uchunguzi wao ulioagizwa juzijuzi na Mchengerwa? Umeua kabisa badala ya kumtetea Biteko.
 
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..

Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
  1. Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
  2. Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
  3. Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
  4. Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
  5. Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
  6. Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.

Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.

Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.

Ukimzikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.

Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.

Paskali.

Tuhuma sio lazima ziwe na ushahidi. Upo ushahidi wa kimazingira inakubalika. Nikisema Magufuli ndiye aliyeamuru lissu auawe, siwezi kutoa ushahidi ila ushahidi wa kimazingira unaonyesha hivyo. Wasukuma tulieni kidogo mmetuharibia nchi kiasi kikubwa
 
Baada ya kusoma uzi bora kabisa wa Pascal Mayalla hii comment imenitafakarisha sana na kuona wazi wazi right kama Tanzania kungekuwa na Chama Imara ya Upinzani basi 2025 tungeshuhudia mabadiliko makubwa sana ya kisiasa nchini. Ni bahati mbaya sana kwamba pamoja na vyama vya upinzani tulivyonavyo kuwa na wafuasi, bado hakuna chama chenye FALSAFA, DIRA WAZI, HEJEMONIA NA MFUMO WA NDANI ULIO IMARA.

Binafsi siyo mfuasi wa chama chochote cha kisiasa nchini japo kama Mtanzania na kama mwanadamu na zaidi kama masomi ni lazima niifahamu siasa kwani ndiyo inayoongoza mifumo yote ya kijamii, uchumi, utamaduni, maamuzi n.k.

Kwa sasa CCM haina uimara thabiti kama kipindi cha JPM na haina mtetezi mwenye ushawishi na nguvu kama BWM. Hii ni departing point nzuri kwa vyama vya upinzani kupenya na kujiimarisha hata kwa kuchota wanaCCM ambao unaona wazi wanahitalafiana ndani ya chama. Bunge likiwa na upinzani ndiyo njia pekee ya kufanya chama tawala kuwajibika na kujitahidi kuwa safi walau hata kidogo. Ni dhahiri kwamba mabadiliko makubwa ya kisiasa ambayo tumeyaona nchini Tanzania kati ya mwaka 2005-2015 yalisababishwa na vyama vya upinzani hasa CDM NA nccr. Ufisadi na wizi mwingi uliibuliwa na wapinzani na kama mtu ni mzuri wa fikra atakubaliana nami kuwa hii ndo ilikuwa point of departure hadi kupatikana kwa “JPM A MAN”.
Huyo jpm unaye muota tayari Mungu kesha mtwaa kitambo ndugu .

Geuza macho tazama aliyepo maana ndiyo katiba imetupatia .
 
Ndugu yangu Pascal mbona kama umewatengenezea TAKUKURU ToR ya uchunguzi wao ulioagizwa juzijuzi na Mchengerwa? Umeua kabisa badala ya kumtetea Biteko.
Ni vema wakafanya uchunguzi kwa mtuhumiwa na kama watamkuta na dhambi ni vema akahukumiwa kwa matendo yake.
 
Wapenda haki wakiona mtu yoyote hatendewi haki, hujitokeza kumtetea, kwasababu kiukweli kabisa kuna baadhi ya tuhuma, sio tuhuma za kweli, ni chuki binafsi tuu.

Ndio maana nimeshauri, ukituhumu, leta na uthibitisho. Ukipata tuhuma za hearsay tuu zisizo na uthibitisho, then zilete as Whistleblow lakini usiweke majina ili kuepuka kuwachafua watu bure.
P
Mpenda haki asiyependa haki itendeke kwa chadema, hongera mkuu kwa kupenda haka biased
 
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..

Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
  1. Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
  2. Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
  3. Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
  4. Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
  5. Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
  6. Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.

Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.

Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.

Ukimzikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.

Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.

Paskali.
Sukuma Gang Mlishangilia Sana Ubaguzi
Qmme Zenu sasa Kibao kimewageukia, tulieni Dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom