Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Habari hizi ulizipataje? Yaani uliahack system ya immigration, uliambiwa na mtu, ulishiriki kuwasilisha maelekezo ya kinguvu idara ya uhamiaji ili mtu apewe uraia, yaani ni namna gani ulipata habari hizi?
Jamani huyu mtu namfahamu. Nawafahamu ndugu zake zaidi ya 15. Nina uhakika wa 100% siyo Mtanzania, na siyo msukuma, japo anaongea kisukuma fluently.
 
Hivi watu wameanza kutajwa majina leo humu JF?Kutajwa biteko kwanini ndio iwe nongwa mpaka mnashauri kanuni ziongezwe,

Au hizi kelele kwamba ninyi watu wa kanda ile pamoja na marehemu mnaendekeza sana ukanda ni za kweli?

Mtu kuwa suspected ni mwanzo mzuri wakuupata ukweli,

Mamlaka zipo acheni zifuatilie kama mwizi hata kama ni ndugu yako akae pembeni nchi yetu tupo zaidi ya 70milion tuna hazina ya watu wazalendo yakutosha.
 
Wewe tuambie ni mfanyabiashara yupi na yupi kaombwa pesa ili tumface direct.otherwise haya uliyoandika bado ni majungu.
Upo sahihi sana. Jana tu niipata nafasi ya kuongea na mwanafamiia wa huyu aliyepewa tenda ya kupeleka mafuta GGM kwa msaada wa Biteko. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini. Nilishangaa huyu mwanafamiia alipotamka kuwa ni kweli.

Kukifanyika uchunguzi na taarifa ikawekwa wazi, wengi watashangaa jinsi huyu bwana alivyofanya tangu kifo cha Magufuli. Anatafuta pesa kwa namna isivyo halali kwa kiwango cha ajabu na kushangaza.
[/QUOTE]
Basi hizi ni tuhuma ,na kwa vile Mamlaka husika wanapita humu wataziona na kutafuta ukweli wake.
 
Wewe ndiye Biteko?
Au kwakuwa ni home boy wako?

Sikufurahishwa na huyo aliyeleta huo uzi kwa kutuhumu bila kuweka vielelezo vya kuthibitisha hizo tuhuma.
stupid

unaulizaje kuwa yeye biteko wakati unamjua?

leo mbowe ana watetezi, kila mtu anapoonewa anakuwa na watetezi...kutetewa hakukufanyi kuwa huyo mtu

hii akili umeokota kwa baba au mama??
 
stupid

unaulizaje kuwa yeye biteko wakati unamjua?

leo mbowe ana watetezi, kila mtu anapoonewa anakuwa na watetezi...kutetewa hakukufanyi kuwa huyo mtu

hii akili umeokota kwa baba au mama??
Tuliza mshono wewe sukuma gang.

Safari hii mnatupiwa virago na hadi ghala liwe safi na salama
 
Dotto anajitahidi ila sio msafi.... kama swala la leseni likiangaliwa kwa undani wake litaondoka na MRO's wengi nayeye akiwemo.... naishia hapa
 
Kaka Pascal Mayalla hivi ina maana wewe umegundua leo kwamba JamiiForums na Moderator huruhusu posts za kufikirika? Wengine wanafungua account leo, wanarusha tuhuma zilizojaa majina na kisha kutokomea.
 
Siku za hivi karibuni JF imegeuka kuwa uwanja wa mafahari kupigania vita! Naona kuna dalili za makundi kadha wa kadha yakipambania mslahi yao ila sasa wanaitumia JF kama platform ya wao kuonyeshana misuli. Watu wanagusana ila hawanuki!
 
Ni kama vile unavyowachafua wasio wanachama wa chama chako cha CCM. Mwandishi ameiga kwako
 
Wanataka kumchomoa jamaa alafu wachomeke majina yao. Ile laini ya mafisadi wametamalaki kila kona.
 
Wasitupoteze malengo tunahitaji wizara nyeti ya nishati iwe na mtu makini ,muadilifu na anayeaminika na watu! Lile bwawa la mwal.tynahitaji likamilike kwa wakati madai ya wazr kutupa visingizio visivyokuwa na maana ni upuuzi na uhujumu uchumi!! mala mashine za kuinulia mifuniko hazpatkan hapa tz kwani planners unataka kutuambia hawakulijua hili Ila wewe tu ndo umelijua !?,mala mvua hakuna kwani ww mungu!????. kwenye hizi wizara tunahitaji mtu mwaminifu na anayeaminika na watu wote!! Ujinga hatutaki!!
 
Bora mpush mwenzio anapigwa maneno tuu,ndugu mwandishi mkongwe nakukumbusha;
Wapo waloitwa magaidi wakawekwa na ndani muda mrefu kwa kusingiziwa!

Wapo walopigwa risasi kisa kusingiziwa wanaihujumu nchi!!

Wapo walosingiziwa mafisadi wakafungwa wakalipishwa mihela huku kiukweli hawajaiba

Wapo walopoteza mamazao kwa mshtuko kufuatia kifungo chao kwakusingiziwa makosa hawakufanya....

Ajabu mwandishi mkongwe katika wooote wewe umeumizwa na mpush mwenzio mpaka umeona umsemee huku kwanguvuuu unahisi jinalake linastahili usafi wahali yajuu...
 
Pascal Mayalla asante kwa bandiko zuri linalolenga na kusisitiza umuhimu wa kuwa waangalifu tunapoleta habari za watu, hasa tuhuma JF.
Mkuu The Monk , thanks for this.
Naomba kuuliza, hua unatumia kigezo gani kupima uzalendo wa mtu? Ni kwa maneno yake, matendo au una kifaa "uzalendometer"?
Uzalendo wa mtu unapimwa kwa kumtazama mtu usoni, facial expressions zake wakati akizungumza, kwa kauli zake , maneno yake na matendo yake. Uzalendo wa kweli unakaa moyoni, sio usoni, sio mdomani na sio kwenye vitendo. Kuna viongozi kibao wanahubiri uzalendo kwa kauli thabiti, kwa maneno tuu, lakini ikija kwenye vitendo, ni mafisadi wakubwa, hivyo they don't practice what they preach, huo uzalendo wao, ni uzalendo wa just paying lip services.
Wazalendo wa aina hii, nao pia watashughulikiwa na karma.
P
 
SUKUMA GANGS[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Kama ni hearsay basi hazikubaliki hata kidogo. Maana tuhuma nzito za kutorosha madini zinatakiwa kuwa na uthibitisho na mtu awe ameona kwa macho yake na kushuhudia.

Hao walikamakatwa Kigamboni suala halipo mahakamani?

Unamtuhumu Jaji anaendesha kesi ya Mbowe unadhani chain of custody haikufuatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…