Kwani Biteko ni msukuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Biteko ni msukuma?
Jamani huyu mtu namfahamu. Nawafahamu ndugu zake zaidi ya 15. Nina uhakika wa 100% siyo Mtanzania, na siyo msukuma, japo anaongea kisukuma fluently.Habari hizi ulizipataje? Yaani uliahack system ya immigration, uliambiwa na mtu, ulishiriki kuwasilisha maelekezo ya kinguvu idara ya uhamiaji ili mtu apewe uraia, yaani ni namna gani ulipata habari hizi?
Hivi watu wameanza kutajwa majina leo humu JF?Kutajwa biteko kwanini ndio iwe nongwa mpaka mnashauri kanuni ziongezwe,Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.
Upo sahihi sana. Jana tu niipata nafasi ya kuongea na mwanafamiia wa huyu aliyepewa tenda ya kupeleka mafuta GGM kwa msaada wa Biteko. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini. Nilishangaa huyu mwanafamiia alipotamka kuwa ni kweli.Wewe tuambie ni mfanyabiashara yupi na yupi kaombwa pesa ili tumface direct.otherwise haya uliyoandika bado ni majungu.
Bora na wewe usemeJamani huyu mtu namfahamu. Nawafahamu ndugu zake zaidi ya 15. Nina uhakika wa 100% siyo Mtanzania, na siyo msukuma, japo anaongea kisukuma fluently.
stupidWewe ndiye Biteko?
Au kwakuwa ni home boy wako?
Sikufurahishwa na huyo aliyeleta huo uzi kwa kutuhumu bila kuweka vielelezo vya kuthibitisha hizo tuhuma.
Tuliza mshono wewe sukuma gang.stupid
unaulizaje kuwa yeye biteko wakati unamjua?
leo mbowe ana watetezi, kila mtu anapoonewa anakuwa na watetezi...kutetewa hakukufanyi kuwa huyo mtu
hii akili umeokota kwa baba au mama??
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.
- Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
- Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
- Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
- Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
- Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
- Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.
Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.
Ukimsikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.
Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.
Paskali.

Ni kama vile unavyowachafua wasio wanachama wa chama chako cha CCM. Mwandishi ameiga kwakoWanabodi,

Mkuu Prince Kunta , kiukweli kabisa hakuna kitu kama hicho. Sukuma Gang ni just a fictitious group made by yule mzushi wa Twitter kwa sababu da chuki zake kwa mtawala na utawala wa awamu ya 5. Wote wanauamini uzushi huu ni wajinga tuu.Sukuma gang kazini kutakasana
Mkuu The Monk , thanks for this.Pascal Mayalla asante kwa bandiko zuri linalolenga na kusisitiza umuhimu wa kuwa waangalifu tunapoleta habari za watu, hasa tuhuma JF.
Uzalendo wa mtu unapimwa kwa kumtazama mtu usoni, facial expressions zake wakati akizungumza, kwa kauli zake , maneno yake na matendo yake. Uzalendo wa kweli unakaa moyoni, sio usoni, sio mdomani na sio kwenye vitendo. Kuna viongozi kibao wanahubiri uzalendo kwa kauli thabiti, kwa maneno tuu, lakini ikija kwenye vitendo, ni mafisadi wakubwa, hivyo they don't practice what they preach, huo uzalendo wao, ni uzalendo wa just paying lip services.Naomba kuuliza, hua unatumia kigezo gani kupima uzalendo wa mtu? Ni kwa maneno yake, matendo au una kifaa "uzalendometer"?
SUKUMA GANGS[emoji3516][emoji3516][emoji3516]Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.
- Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
- Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
- Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
- Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
- Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
- Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.
Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.
Ukimsikiliza Biteko, utakubaliana na mimi, huyu ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, kumtuhumu kwa tuhuma lukiki bila ushahidi wowote au uthibitisho wowote, sio kumtendea haki.
Hongera sana wana jf kwa kwa kazi kubwa nzuri ya Whistleblowing, ila sasa tubadilike, tukitoa tuhuma, tulete na uthibitisho kuepuka kuchafua bure majina ya watu.
Paskali.
Kama ni hearsay basi hazikubaliki hata kidogo. Maana tuhuma nzito za kutorosha madini zinatakiwa kuwa na uthibitisho na mtu awe ameona kwa macho yake na kushuhudia.Paskali una angalizo zuri, lakini watu wanaona bora waweke hizo hearsay humu mitandaoni, maana taasisi za uchunguzi na kutoa haki nazo zinafanya kazi nje ya weledi kabisa. Mifano mirahisi kabisa, kuna nyumba ilikamatwa ikiwa imejiunganishia bomba la mafuta hapa Dar, waziri mkuu na IGP wakasema ndani ya siku 7 watatoa ripoti ya jambo lile, lakini mpaka leo kimya.
Hata watu wakiamua kwenda mahakamani, bado mahakamani kwa sasa sio sehemu ya uhakika ya kwenda kupata haki, mfano hii kesi ya Mbowe kama kuna documents zimewafikia mashahidi kinyume na utaratibu na bado jaji anakoroga unategemea nini? Kuna mashahidi unaona kabisa wanatoa ushahidi wenye kutia shaka lakini wanaachwa.
Kwa mifano hiyo ya wazi wa taasisi za kufanyia kazi tuhuma ziko chini ya weledi, unategemea watu waache kuja kuanika huku mitandaoni. Fuatilia vizuri hicho unachosema ni kuchafuana, utakuta zaidi ya nusu ni kweli kwani ni watu wanaojuana na machafu yao. Watu waliopo madarakani kwa uchaguzi wa kishenzi vile watakuwaje wasafi?