Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Panga shingoni
Roho begani
Mwili mkononi

Unachangua nini ? Usisahau mi ndio yule yule miyeyusho mzee wa kuchomesha
AI na ML chatbots

Mapanga tuwaachie ma ancestors wetu

Saivi the most dangerous panga ni AI MKUU
 
Tunashukuru sana wote wana JF kwa maombi yenu Mtoto anaendelea vyema...nyie mnaofukua makaburi shwain
Mungu ni mwema tupo salama
Shwain ni nguruwe kwa Kijerumani ujue. Mahari rudisheni, usijitanye kusahau
 
Kuna watu humu sijui ni kukosa hela kunawafanya wanaropokwa?!
Tatizo kubwa ni wanaoropoka ropoka katika mitandao! Why expose yourself kama unatamani privacy! Najua unajisitukia! Mtu unajifunua katika mitandao, lazima wakuda tukukumbushe. Mfano mtu unadai una UTI sugu, siku tukikuuliza umepona, unakuja juu ati tunafukua! Msomi ni mtu anayetafuta references ujue! Fukunyufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…