YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
I want a malice to everybody 😁We & I mean No Malice To Nobody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I want a malice to everybody 😁We & I mean No Malice To Nobody
Panga shingoniI want a malice to everybody 😁
AI na ML chatbotsPanga shingoni
Roho begani
Mwili mkononi
Unachangua nini ? Usisahau mi ndio yule yule miyeyusho mzee wa kuchomesha
Panga mkononiAI na ML chatbots
Mapanga tuwaachie ma ancestors wetu
Saivi the most dangerous panga ni AI MKUU
😎Panga mkononi
Roho begani
Utaelewa
We & I mean No Malice To Nobody
Buhahaha
Buhahaha
Buhahaha
Buha
Buha
Bu
Buhahaha
Buhahaha
Buhahaha
If you mean no malice then dont fak a bitch 🙄😑😁Buhahaha
Buhahaha
Bu
Bu
Buhahaha
Buhahaha
Bu
Bu
Buhahaha
Buhahaha
We & I mean No Malice To Nobody
Come again say what ?If you mean no malice then dont fak a bitch 🙄😑😁
🥸🚶🚶🚶🚶🚶Come again say what ?
Say what ?🥸🚶🚶🚶🚶🚶
Kabisa atupe ata namba ya beki 3 hapa tutume chochote.. hongera sana mamiee trudie ..bless you 🎁Hivi tukijipiga mifuko kila mmoja ka alfu kumi, watu mia tu amepata kamilioni ka mtoto ka maziwa na nepi.
Naona wote mmekalia hongera tu, hebu tutoeni hongera ya vitendo wadau.
Kama hii ni ID yako nyingine umekuja kunikera sorry NOT TODAY mkuu. Kwa furaha niliyo nayo hakuna nafasi ya kunikwaza. Kama ni wewe basi nikwambie tuu pole umalaya wako ndio umesababisha umekosa bara na pwani i can imagine na upweke ulio nao lazima uwe bitter.
Shwain ni nguruwe kwa Kijerumani ujue. Mahari rudisheni, usijitanye kusahauTunashukuru sana wote wana JF kwa maombi yenu Mtoto anaendelea vyema...nyie mnaofukua makaburi shwain
Mungu ni mwema tupo salama
Tatizo kubwa ni wanaoropoka ropoka katika mitandao! Why expose yourself kama unatamani privacy! Najua unajisitukia! Mtu unajifunua katika mitandao, lazima wakuda tukukumbushe. Mfano mtu unadai una UTI sugu, siku tukikuuliza umepona, unakuja juu ati tunafukua! Msomi ni mtu anayetafuta references ujue! FukunyufuKuna watu humu sijui ni kukosa hela kunawafanya wanaropokwa?!
Pole pia inaonekana UNA SAFARI NGUMU. Bwana ako alishakurudishia mtoto?Pole sana, maisha hayako fair kabisa. Inaonekana umepitia safari ngumu🤔🙉