Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

trudie mbona mi hukunialika[emoji848][emoji848], au una ogopa ntakula Sana [emoji3][emoji23]. I mean no malice to nobody
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kula kujigalagaza kabisa. Rafiki yangu usijali i will make it up to you soon, hakukuwa na sherehe tulikuwa tunahalalisha kwanza kukimbia uzinzi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mi na ki rafiki changu Cha kike, tume advance kidogo😂😆. Juzi alinipa hi😍😍
👉Akaniita jina la utani, nililompa akii😍😍
👉Wish you da best
 
Mbona hukutupa taarifa alipokuwa mja mzito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…