MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hongera sana. Kumbe watu mnajuana hata nje ya JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kakasiriko ya kitoto. Tuendelee mpaka nia yako igundulike bwasheeI got nothing to discuss with you, unaijua ignore button 😂😆
Ukute ni ID za mtu mmoja zote hizo inatafutwa attention tu au kuna wana wawili wanapiga Mali moja sasa kuna bifu la chini chini.mbona uzi kama kunasintofahamu
pia naona wanataka kupitisha kimchango flani ivi kutusokotaUkute ni ID za mtu mmoja zote hizo inatafutwa attention tu au kuna wana wawili wanapiga Mali moja sasa kuna bifu la chini chini.
Jf kuna mengi
Ukute ni ID za mtu mmoja zote hizo inatafutwa attention tu au kuna wana wawili wanapiga Mali moja sasa kuna bifu la chini chini.
Jf kuna mengi
Mkuu sio ID moja Intelligent businessman tumefahamiana kwenye jukwaa la usiku wa manane hatujuani face to face na kanipongeza baada ya kumwambia nimemletea anko. Ila hizo ID nyingine zote mnazoona zipo negative ni za mtu mmoja ambae alipata kiki JF baada ya kujibu uzi wangu kwamba ndio baba mtoto wangu nilipoomba ushauri November na akaaminika while hatujuani. Kila akitaka kiki anaanzisha uzi wa kuniponda nikampotezea.pia naona wanataka kupitisha kimchango flani ivi kutusokota
kuna id imechomekea hilo pia
Bila uchira na Johnnie Walker timu haijakamilikaTeam jf usiku wa Manane, member mwenzenu huyo Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Analyse, Poor Brain, stow away, fyddell, Half american, Kanali G, Ms eyes
👉 We mean no malice to nobody
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Nikirudi jikoni sasa hivi nitajitahidi nimaster kupika na kupamba. Biscuit nimeshaziweza kabisa bado cake tuu.Anza kupamba.
Unapika na kupamba
Hata Mimi si mara zote napika vizuri
Mtandaoni ni vurugu tu Chizi MaarifaUkute ni ID za mtu mmoja zote hizo inatafutwa attention tu au kuna wana wawili wanapiga Mali moja sasa kuna bifu la chini chini.
Jf kuna mengi
Mkuu sio ID moja Intelligent businessman tumefahamiana kwenye jukwaa la usiku wa manane hatujuani face to face na kanipongeza baada ya kumwambia nimemletea anko. Ila hizo ID nyingine zote mnazoona zipo negative ni za mtu mmoja ambae alipata kiki JF baada ya kujibu uzi wangu kwamba ndio baba mtoto wangu nilipoomba ushauri November na akaaminika while hatujuani. Kila akitaka kiki anaanzisha uzi wa kuniponda nikampotezea.
Hapo hizo zote 4 ni ID zake ili mradi tuu aendelee kupata kiki. Hakuna anayetaka kupitisha mchango watu wanatoa mawazo yao wenyewe kuchangia kwa wema wao na mimi nawajibu nashukuru na sijawapa hata hiyo namba ya mchango. Jf namjua mtu mmoja tuu face to face wala hakuna bifu ni kiki za kijinga za mtu aliyekosa kazi.
aah sasa inamsaidia nini au aliwahi kukutongoza ukamkataliaMkuu sio ID moja Intelligent businessman tumefahamiana kwenye jukwaa la usiku wa manane hatujuani face to face na kanipongeza baada ya kumwambia nimemletea anko. Ila hizo ID nyingine zote mnazoona zipo negative ni za mtu mmoja ambae alipata kiki JF baada ya kujibu uzi wangu kwamba ndio baba mtoto wangu nilipoomba ushauri November na akaaminika while hatujuani. Kila akitaka kiki anaanzisha uzi wa kuniponda nikampotezea.
Hapo hizo zote 4 ni ID zake ili mradi tuu aendelee kupata kiki. Hakuna anayetaka kupitisha mchango watu wanatoa mawazo yao wenyewe kuchangia kwa wema wao na mimi nawajibu nashukuru na sijawapa hata hiyo namba ya mchango. Jf namjua mtu mmoja tuu face to face wala hakuna bifu ni kiki za kijinga za mtu aliyekosa kazi.
Sijui hata anafaidika nini maana anazunguka kwenye nyuzi za watu ananitag upuuzi wake kwa ID tofauti. Hajawahi kunitongoza na hata ule uzi kwamba ndio baba mtoto alianzisha ghafla ndio kumfahamu.aah sasa inamfaidia nini au aliwahi kukutongoza ukamkatalia
hahahah mlikua na baba wa mtoto mnamchambua.Sijui hata anafaidika nini maana anazunguka kwenye nyuzi za watu ananitag upuuzi wake kwa ID tofauti. Hajawahi kunitongoza na hata ule uzi kwamba ndio baba mtoto alianzisha ghafla ndio kumfahamu.
Mpaka baba wa binti yangu alisema huyo jamaa atakuwa anakutaka sio bure yeye mwenyewe anamshangaa.
hahahah mlikua na baba wa mtoto mnamchambua.
kazi kwelikweli
mkuu mbona unauliza maswali kama umefufukaWanamchambua nani
Ile recipe ulinipa ya biscuit niliijaribu.Nikirudi jikoni sasa hivi nitajitahidi nimaster kupika na kupamba. Biscuit nimeshaziweza kabisa bado cake tuu.
Kijana ni mpuuzi yuleSijui hata anafaidika nini maana anazunguka kwenye nyuzi za watu ananitag upuuzi wake kwa ID tofauti. Hajawahi kunitongoza na hata ule uzi kwamba ndio baba mtoto alianzisha ghafla ndio kumfahamu.
Mpaka baba wa binti yangu alisema huyo jamaa atakuwa anakutaka sio bure yeye mwenyewe anamshangaa.
Mkuu mie mbona hauja ni wish.. mbona na mie mke wangu kajifungua madume mawili mzee baba…Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:
''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Tatizo Hujasema mkuu. I mean no malice to nobodyMkuu mie mbona hauja ni wish.. mbona na mie mke wangu kajifungua madume mawili mzee baba…
Aisee na mie bana, nashukuru jana usiku nimepata pacha wa kiume wawili.. wakikua nakupa uwasajili chamaniTatizo Hujasema mkuu. I mean no malice to nobody