Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Ukute ni ID za mtu mmoja zote hizo inatafutwa attention tu au kuna wana wawili wanapiga Mali moja sasa kuna bifu la chini chini.

Jf kuna mengi
pia naona wanataka kupitisha kimchango flani ivi kutusokota

kuna id imechomekea hilo pia
Mkuu sio ID moja Intelligent businessman tumefahamiana kwenye jukwaa la usiku wa manane hatujuani face to face na kanipongeza baada ya kumwambia nimemletea anko. Ila hizo ID nyingine zote mnazoona zipo negative ni za mtu mmoja ambae alipata kiki JF baada ya kujibu uzi wangu kwamba ndio baba mtoto wangu nilipoomba ushauri November na akaaminika while hatujuani. Kila akitaka kiki anaanzisha uzi wa kuniponda nikampotezea.

Hapo hizo zote 4 ni ID zake ili mradi tuu aendelee kupata kiki. Hakuna anayetaka kupitisha mchango watu wanatoa mawazo yao wenyewe kuchangia kwa wema wao na mimi nawajibu nashukuru na sijawapa hata hiyo namba ya mchango. Jf namjua mtu mmoja tuu face to face wala hakuna bifu ni kiki za kijinga za mtu aliyekosa kazi.
 
Shemeji naomba namba nimbebe mtoto

aah sasa inamsaidia nini au aliwahi kukutongoza ukamkatalia
 
aah sasa inamfaidia nini au aliwahi kukutongoza ukamkatalia
Sijui hata anafaidika nini maana anazunguka kwenye nyuzi za watu ananitag upuuzi wake kwa ID tofauti. Hajawahi kunitongoza na hata ule uzi kwamba ndio baba mtoto alianzisha ghafla ndio kumfahamu.
Mpaka baba wa binti yangu alisema huyo jamaa atakuwa anakutaka sio bure yeye mwenyewe anamshangaa.
 
hahahah mlikua na baba wa mtoto mnamchambua.
kazi kwelikweli
 
Sijui hata anafaidika nini maana anazunguka kwenye nyuzi za watu ananitag upuuzi wake kwa ID tofauti. Hajawahi kunitongoza na hata ule uzi kwamba ndio baba mtoto alianzisha ghafla ndio kumfahamu.
Mpaka baba wa binti yangu alisema huyo jamaa atakuwa anakutaka sio bure yeye mwenyewe anamshangaa.
Kijana ni mpuuzi yule
 
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Mkuu mie mbona hauja ni wish.. mbona na mie mke wangu kajifungua madume mawili mzee baba…
 
Back
Top Bottom