Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #101
Saint Anne keep doing and showing the good work, unaeza hata tumia ujuzi wako kuanzisha bakery.Hongera sana best.
Sasa nimeelewa kwanini ulisafiri.
Hongera sana,Mungu awatunze.
Mimi najikongoja mdogo mdogo kupamba.
Kheri ikawe kwenu pia 🙏🙏,Heri na baraka ziwe nanyi daima
Ameen, thank you[emoji122]I pray for you, blessings and glories to be on your side.
Kheri ikawe kwenu pia 🙏🙏,Heri na baraka ziwe nanyi daima
Asante 🙏🙏- kwa niaba yake
Hongera sana kwa trudieHi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:
''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Kumbe wakati Yuko Lindo ndo akatafuta na katoto,hongera yakeTeam jf usiku wa Manane, member mwenzenu huyo Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Analyse, Poor Brain, stow away
👉 We mean no malice to nobody
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Mkuu na wewe liniAmeen, thank you[emoji122]
I mean no malice to nobody, trudie in case of anything iam there my friend.Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye furaha na baraka tele ili uendelee kufanyika baraka kwa watu wengine. Intelligent businessman umeniandikia maneno ya baraka sana mpaka nakosa neno la kushukuru vipi. Asante sana kwa pongezi na upendo, moyo wako huu uliona nao i wish binadamu wengi tungekuwa nao. Muda wote upo happy with positive vibes na unaakisi msemo wako " i mean no malice to nobody".
Hahaaa hilo muhimu kamjomba ketu kainjoiNi wa kike, hope mtaiba midoli mumpelekee
Yaani hata sielewi mkuuMkuu na wewe lini
Nawaomba tukipeleka midoli kwa trudie, Basi tujiitahidi tusiwaibie😆😂 mwizi anaye chipukia National Anthem, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow awayHahaaa hilo muhimu kamjomba ketu kainjoi
SinaUna mtoto ?
Kwa baraka zake MOLA, itakuwa tu. Don't pressure your self nkamuYaani hata sielewi mkuu
Hiyo avatar, nilijua umekula ban aise😂😆Sina
Fanya Kampango ili na wewe tuje tukupongeze hapa jukwaani huku tukikumwagia maua kibao.Yaani hata sielewi mkuu
Yes i don't, wakati sahihi ukifika basi itakua heriKwa baraka zake MOLA, itakuwa tu. Don't pressure your self nkamu