Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

trudie nadhani sasa umwachie jamaa aenda na mtoto wake maana sasa umepata wako Ref: Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?
Umefukua na kaburi kabisa mkuu hahahaaa, mkuu tulishakubaliana nitamwachia mtoto pale atakapotulia na awe ameoa.

Natamani mwanangu akienda kwa baba yake alelewe na mama( namuombea apate mke mwema atakayemlea vema binti yangu) na sio kuchukua mtoto halafu apeleke kwa ndugu sijui shangazi au mamdogo wamlee wakati nipo hai never hasa kipindi hiki wakati bado mdogo.
 
Hongera yake kwa kumaliza mwendo salama , Ni safari ya maumivu iliyochanganyika na furaha ndani yake isiyo na kifani. Mungu azidi kuiimarisha Afya ya mtoto na mama pia.
 
Aha! Sasa umekuwa sawa na Hamisa Mobeto ambaye ana watoto wawili toka kwa baba wawili tofauti. Mwachie mchagga mtoto nawe ubaki na kichanga chako na bebi mpya. Acha masharti wakati umeisha move on siku nyingi
 
Hongera yake kwa kumaliza mwendo salama , Ni safari ya maumivu iliyochanganyika na furaha ndani yake isiyo na kifani. Mungu azidi kuiimarisha Afya ya mtoto na mama pia.
Amina asante sana, ni safari ndefu but worth it at the end.
 
Back
Top Bottom