trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Hongera yake
Asanteni sana [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Hongera sana kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera yake
Asanteni sana [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Hongera sana kwake
Asante sana mkuu, niko hapa napokea zawadi hahaaa[emoji38][emoji38]Uzi unatembea fasta fasta.... hongera nyingi sana kwake....
Utaratibu wa kumpelekea zawadi ukoje Intelligent businessman
Bila Shaka mtoto alipatikania huko mkuu.Asante sana, lindo linaibua mengi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana mkuuHongera kwa katoto kazuri
Ooh jamani hongera sana umetuletea kamrembo kama mama yake, napenda sana watoto wa kikeAsante sana ni wa kike mkuu.
Umefukua na kaburi kabisa mkuu hahahaaa, mkuu tulishakubaliana nitamwachia mtoto pale atakapotulia na awe ameoa.trudie nadhani sasa umwachie jamaa aenda na mtoto wake maana sasa umepata wako Ref: Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi tukijipiga mifuko kila mmoja ka alfu kumi, watu mia tu amepata kamilioni ka mtoto ka maziwa na nepi.
Naona wote mmekalia hongera tu, hebu tutoeni hongera ya vitendo wadau.
Bila shaka zitafikaaaAsante sana mkuu, niko hapa napokea zawadi hahaaa[emoji38][emoji38]
Aha! Sasa umekuwa sawa na Hamisa Mobeto ambaye ana watoto wawili toka kwa baba wawili tofauti. Mwachie mchagga mtoto nawe ubaki na kichanga chako na bebi mpya. Acha masharti wakati umeisha move on siku nyingiUmefukua na kaburi kabisa mkuu hahahaaa, mkuu tulishakubaliana nitamwachia mtoto pale atakapotulia na awe ameoa.
Natamani mwanangu akienda kwa baba yake alelewe na mama( namuombea apate mke mwema atakayemlea vema binti yangu) na sio kuchukua mtoto halafu apeleke kwa ndugu sijui shangazi au mamdogo wamlee wakati nipo hai never hasa kipindi hiki wakati bado mdogo.
Hakika mtoto ni baraka,Watoto ni baraka .Hongera sana .
Amina asante sana, ni safari ndefu but worth it at the end.Hongera yake kwa kumaliza mwendo salama , Ni safari ya maumivu iliyochanganyika na furaha ndani yake isiyo na kifani. Mungu azidi kuiimarisha Afya ya mtoto na mama pia.
Asante sana mkuuHongera sana[emoji322]
Ameanza kutambaa 😍🤗Anaendeleaje baby wetu?
Umekuza, hongera😘Ameanza kutambaa 😍🤗