Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera sana best.
Sasa nimeelewa kwanini ulisafiri.

Hongera sana,Mungu awatunze.

Mimi najikongoja mdogo mdogo kupamba.
Saint Anne keep doing and showing the good work, unaeza hata tumia ujuzi wako kuanzisha bakery.
👉Kisha uka ibrand, kupitia ads za sponsor mtandaoni. Ili kujitangaza na kupata wateja.🙏
 
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Hongera sana kwa trudie
Wa kike au wa kiume?
 
Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye furaha na baraka tele ili uendelee kufanyika baraka kwa watu wengine. Intelligent businessman umeniandikia maneno ya baraka sana mpaka nakosa neno la kushukuru vipi. Asante sana kwa pongezi na upendo, moyo wako huu uliona nao i wish binadamu wengi tungekuwa nao. Muda wote upo happy with positive vibes na unaakisi msemo wako " i mean no malice to nobody".
I mean no malice to nobody, trudie in case of anything iam there my friend.
👉 Just one call away, and I be there best.
👉Jitunze na uitunze familia pia.
👉Jijenge na uzingatie malezi bora.
👉Epuka migogoro ndani ya familia, ili mfike sehemu inayofaa🙏🙏
👉Pambaneni kiuchumi, ili kuandaa mazingira Bora ya maisha. Kwa ajili yenu na familia yenu.
 
Back
Top Bottom