Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Uzi unatembea fasta fasta.... hongera nyingi sana kwake....

Utaratibu wa kumpelekea zawadi ukoje Intelligent businessman
 
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
trudie nadhani sasa umwachie jamaa aenda na mtoto wake maana sasa umepata wako Ref: Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?
 
Hongera sana best.
Sasa nimeelewa kwanini ulisafiri.

Hongera sana,Mungu awatunze.

Mimi najikongoja mdogo mdogo kupamba.
Amina asante sana best, nakutamania nijue kupika fasta kama wewe mimi bado nipo kujifunza kupikahuko kwenye kupamba sio leo wala kesho.
 
Ficha upuuzi wako, damn sculando.
[emoji117]Mbona man negative minds Sana[emoji117]huu uzi hauja alikwa, so unge mind business zako.
Msamehe bure rafiki jinamizi la kulelewa na single mother bila kumjua baba yake linamtafuna so anaattack kila single mother akidhani anapunguza maumivu. Inabidi ajifunze sio kila mahusiano kuvunjika basi mama alikuwa na makosa kiasi cha kumnyima mtoto malezi ya baba yake sometimes inakuwa kwa faida ya wote even huyo mtoto.
 
Back
Top Bottom