Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Aha! Sasa umekuwa sawa na Hamisa Mobeto ambaye ana watoto wawili toka kwa baba wawili tofauti. Mwachie mchagga mtoto nawe ubaki na kichanga chako na bebi mpya. Acha masharti wakati umeisha move on siku nyingi
I DONT CARE nimekuwa kama mobeto or who as long as am happy na watoto wangu keyboard warriors dont bother me at all. Siwezi lazimisha sehemu ambayo sina furaha na amani kisa kufurahisha watu. Na sio keyboard warriors tuu walimwengu wote koz hakuna hata mmoja atanisaidia kulea. Even huyo unayempigia chapuo amchukue mtoto wake kashindwa kumlea so msiwe na mihemuko ya mitandao wazazi tunajua na tuna uchungu kwa watoto wetu kuliko nyie.
 
Tunasubiri wa tatu atatoka wapi! Nakupa miaka 2 utakuja kunikumbuka na kosa kubwa kama la mobeto.
 
Nitakukumbukaje na sikujui bwashee?? Vipi unataka kusaidia kuwalea au vipi maana upo so concerned hadi naogopa
 
Pole na hongera pia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Asante sana, sometimes kuteleza kunakupa akili ya kuwa makini zaidi utembeapo. Namshukuru Mungu kanipa baraka ya watoto na mume bora anayewajali na kulea wote. Namuombea awe hivyo hivyo maisha yetu yote nami niwe mama na mke bora mabinti zangu wasiteleze kama mama yao[emoji120][emoji120]
 
Hongera sana na samahani kwa comment yangu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji mtoto na mie unizalie
Ondoka kwanza kwa shemeji yako atlist upange hata chumba kimoja. Badilisha jezi na kadeti unayorudia kila siku, then nunua boxer za kutosha acha kuvaa mibukta baada ya hapo tafuta kazi. Ukikamilisha yote njoo.
 
Nitahama kesho ila naomba nije kukaa kwako kama hutajali. Mtoto nami namtaka
 
Hongera kwake,wale ma sperm donor tuendelee kujitafakari mwenzetu ametishiwa faini ya $100k na mahakama ya uholanzi akiendelea na donation.
 
Hongera sana na samahani kwa comment yangu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Usijali mkuu, tupo katika era ambayo mitandao inatufanya tusifikirie mara mbili, tusiheshimiane wala kuoneana huruma. Unakuta mtu humjui ila unamuattack as if mna personal conflict.
 
Nitahama kesho ila naomba nije kukaa kwako kama hutajali. Mtoto nami namtaka
Kama hii ni ID yako nyingine umekuja kunikera sorry NOT TODAY mkuu. Kwa furaha niliyo nayo hakuna nafasi ya kunikwaza. Kama ni wewe basi nikwambie tuu pole umalaya wako ndio umesababisha umekosa bara na pwani i can imagine na upweke ulio nao lazima uwe bitter.
 
Tunashukuru sana wote wana JF kwa maombi yenu Mtoto anaendelea vyema...nyie mnaofukua makaburi shwain
Mungu ni mwema tupo salama
 
Kuna watu humu sijui ni kukosa hela kunawafanya wanaropokwa?!
 
Tunashukuru sana wote wana JF kwa maombi yenu Mtoto anaendelea vyema...nyie mnaofukua makaburi shwain
Mungu ni mwema tupo salama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilitaka kushangaa mpaka saa hizi baba mtoto wa JF asijitokeze...mkuu sio poa
 
Back
Top Bottom