Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Pole pia inaonekana UNA SAFARI NGUMU. Bwana ako alishakurudishia mtoto?
Bwana mwenyewe mwenye mtoto si ndio ulikuwa wewe ukaanzisha na uzi kabisa au umesahau?? Tukuulize ulirudisha mtoto?? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
 
Tatizo kubwa ni wanaoropoka ropoka katika mitandao! Why expose yourself kama unatamani privacy! Najua unajisitukia! Mtu unajifunua katika mitandao, lazima wakuda tukukumbushe. Mfano mtu unadai una UTI sugu, siku tukikuuliza umepona, unakuja juu ati tunafukua! Msomi ni mtu anayetafuta references ujue! Fukunyufu

[emoji706]
 
Bwana mwenyewe mwenye mtoto si ndio ulikuwa wewe ukaanzisha na uzi kabisa au umesahau?? Tukuulize ulirudisha mtoto?? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
Na aliyezaa naye ana kazi ya ziada! Huyu mama wa Watoto wawili kwa wanaume wawili kama mobeto ni mshari ajabu.
 
Bwana mwenyewe mwenye mtoto si ndio ulikuwa wewe ukaanzisha na uzi kabisa au umesahau?? Tukuulize ulirudisha mtoto?? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
Una mtoto wa siku 2 unajibizana jf angalia stress zisikaushe maziwa uanze kulialia hela ya kununua maziwa..Ila wewe mwanamke una mdomo balaa na itoshe kusema hutaki kupitwa na jambo. Kaa vumilia miezi 3 lea mwanao acha kelele na jamaa uliyezaa naye huyu wa 2 yumo humu akiona huu mdomo wako atashika break iwe balaa zaidi. Kama kakukubali na mtoto wa nje basi tumia muda huu kutunza heshima hiyo na kuilinda imani yake kwako. Wapo wachache wanaokubali hali hizo (Mimi sipo kabisaaaa kulea mwanamke ambaye ameshazalishwa kwingine. Hata ikitokea bahati mbaya akabeba ujauzito wangu napita hivi fasta) Naongea haya na mimi ni baba ninalea hivyo zingatia ushauri wangu.
 
Mkuu mtoto wangu hana siku 2, then baba yake hayupo humu na wala haijui JF, Siwezi kuwa na stress na watu wa JF ambao siwajui. Sawa nina mdomo lakini huyo Chizi ambae kutwa anaanzisha nyuzi za kunichafua na binti yangu while hatujuani je niendelee kukaa kimya? Tuna mioyo pia thread ya pongezi mtu analeta personal attack. Kama huwezi kuishi na mtu aliyezalishwa ni wewe na uamuzi wako its ur life ndio maana ukaitwa GSam na mwingine Juma means hamfanani ndio maana unawaza kumpa mimba mwanamke na kupita hivi fasta(ni akili yako). Anyway asante kwa essay ya ushauri.
 
Siwazi kumpa mimba mwanamke ambaye tayari ana mtoto na mwanaume mwingine maana nitakuwa namzidishia mzigo na mimi sipo tayari kuishi naye. Ikitokea akani full na bahati mbaya akanasa ujauzito basi atajua yeye alee vipi.

Nimekupa tahadhari tu kuwa jikite kwenye malezi ya mwanao mchanga ambaye ana siku chache tangia azaliwe kuliko kujibizana humu na watu ambao ni stress free zone na huenda yupo zake bar anagonga mvinyo huku akishushia na majibizano yako kwake. Mwanamke ambaye siyo mvumilivu wa kujibizana hovyo hovyo kama wewe unavyoonyesha humu inatokea inakuwa vigumu sana kuishi na kudumu kwenye mahusiano. Pia usiwe mwepesi sana kuweka mambo yako ya ndani kwenye majukwaa ya kijamii. Trust me ukiendelea hivi utakuja kushtuka hata uliye naye sasa ameshakukinai. Usiwe mwepesi kujibizana hovyo hovyo. Sasa hapo una mtoto mchanga bado una maumivu ya uchungu na unajibizana hivi je ungekuwa normal huna majukumu mazito ingekuwaje?
 
Washauri nasaa wa JF [emoji706]
 
Nashukuru kwa ushauri, ila mkuu kuna mambo mengine yanakwaza beyond limit. Kuna member hapa kwenye uzi kanichokoza nimempotezea but kaanza kucoment kwenye nyuzi za watu wengine nimepata mtoto na bebi mwingine na ananitag kabisa. Kiubinadamu inakwaza hata uwe mvumilivu kiasi gani.

Humu tupo anonymous wengine ndio sehemu ya kuombea ushauri na kutoa stress na matatizo yao but isiwe fimbo ya kumchapia mtu. Mwisho wa siku mpaka Intelligent businessman atajuta kuanzisha uzi maana umeenda nje ya lengo lake kisa wapuuzi wachache.
 
Bwana mwenyewe mwenye mtoto si ndio ulikuwa wewe ukaanzisha na uzi kabisa au umesahau?? Tukuulize ulirudisha mtoto?? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
Uzi gani ambao mimi nimewahi kukutaja kwa lolote lile? Haiwezi kutokea hata siku moja.
 
Una mtoto wa siku 2 unajibizana jf angalia stress zisikaushe maziwa uanze kulialia hela ya kununua maziwa..Ila wewe mwanamke una mdomo balaa na itoshe kusema hutaki kupitwa na jambo. Kaa vumilia miezi 3 lea mwanao acha kelele na jamaa uliyezaa naye huyu wa 2 yumo humu akiona huu mdomo wako atashika break iwe balaa zaidi. Kama kakukubali na mtoto wa nje basi tumia muda huu kutunza heshima hiyo na kuilinda imani yake kwako. Wapo wachache wanaokubali hali hizo (Mimi sipo kabisaaaa kulea mwanamke ambaye ameshazalishwa kwingine. Hata ikitokea bahati mbaya akabeba ujauzito wangu napita hivi fasta) Naongea haya na mimi ni baba ninalea hivyo zingatia ushauri wangu.
Mkuu mbona una chuki kupita kiasi🤔🤔,
👉 I wonder where your manners be, miaka mingapi tu jf. Ushaanza kushika upuuzi was madrama king😆😎
👉Afu kuhusu trudie kuzungumzia mtoto wake, hilo halikuhusu coz alishare the good news na sisi na so wewe kichwa pembe.

👉Eti atakosa hela ya maziwa🙉🙉, dah una upuuzi kiwango Cha mwisho, mbona una was kuhusu anguko lake na SI mafanikio yake.
👉Eti siwezi oa mwanamke mwenye mtoto, ukute we mwenyewe ulitakiwa ufanyiwe miss carriage 😆😆🤔
👉Have some respect to her, damn it
👉 I mean no malice to nobody 🙏
 
Back
Top Bottom