Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.

Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani documents zilikuwa zinawahitaji wasome na kusaini.

Huu ni mchezo wa paka kumuandalia chakula panya, yaani walitakiwa wapewe muda angalau wa kuzisoma na kama kuna marekebisho basi wayapendekeze kwa NEC iyafanyie marekebisho.

Wakati wawakilishi wa vyama vingine walipiga kimya na kukubali tu kupitishwa.

Hongera sana katibu bora wa chama bora cdm.
 
Sawa, hebu soma hapo juu ulichoandika, Fanya masahihisho, rudia kuandika. Kiufupi hata hueleweki umeandika kuhusu kitu gani.
Sijui nianzie wapi mkuu nisaidie
 
Back
Top Bottom