Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Kwanza mlipotosha kuwa mnyika kagoma kusaini badae anahojiwa na DW anasema tumesaini kwanini mmekuwa waongo hivi
 
Chadema habari nyingine, jamaa wanaweka kanuni za hovyo kujidanganya, hizo kanuni hazisainiwi na uchaguzi watashiriki, muda wa kutishana ulishapita.

CCM wamefanya siasa za bombardier na flyover miaka mitano, bado wanawaogopa ambao hawakuwahi kupanda jukwaani hata mara moja, ajabu sana.
Usikariri bwashee....... Mnyika amesaini kitambo!
 
Chadema habari nyingine, jamaa wanaweka kanuni za hovyo kujidanganya, hizo kanuni hazisainiwi na uchaguzi watashiriki, muda wa kutishana ulishapita.

CCM wamefanya siasa za bombardier na flyover miaka mitano, bado wanawaogopa ambao hawakuwahi kupanda jukwaani hata mara moja, ajabu sana.
Kwa hivo mtashiriki uchaguzi chini ya usimamizi wa tume ipi?
 
Kiukweli kuna kila sababu ya kuamini kwamba CCM inaogopa uchaguzi baada ya NEC kuanza kulazimisha mambo ya hovyo yanayoitia aibu nchi.

Miaka mitano siasa zimefanywa na CCM tu vyama vingine vimezuiliwa na kupigwa mabomu lakini bado ccm haijiamini !

Msikilizeni Mh. Mnyika mjionee uchafu.
Weka video yote, kipande ulichoweka hakijakamilika kutosha kutetea ulichoandika.
 
Uduni wa akili za vijana wao ni wa muda mrefu sana. Si unajua ukiingia ccm inabidi ubongo uuache mlangoni?
2306076_1572191514899.jpeg
 
Back
Top Bottom