Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Anatafuta pa kutokea ila ubunge ausahau maana hata pata hata kura moja
Unakaa Dar au Rubondo island 🌴??Matege amekimbia Ukonga chezea wa kanda maalum na kwa Mnyika ni hivyo hivyo..mboga za majani wajaribu Ilala tena kwa mbinde
 
Ndiyo maana wanaichukia sana cdm maana viongozi wake ni watu wenye uelewa sana na wapo pale kwa nia haswaa ya kuwahudumia wananchi.
Wengine walifuata posho ya kikao around 3k kwa kila mshiriki hivyo walijua hakuna atakaye soma zaidi ya kuwaza posho, safi Mnyika.
 
Ndiyo maana wanaichukia sana cdm maana viongozi wake ni watu wenye uelewa sana na wapo pale kwa nia haswaa ya kuwahudumia wananchi.
Kuna umaskini wa akili na umaskini wa kipato, hao wengine wabarikiwa navyo hivyo vyote
 
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.

Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani documents zilikuwa zinawahitaji wasome na kusaini.

Huu ni mchezo wa paka kumuandalia chakula panya, yaani walitakiwa wapewe muda angalau wa kuzisoma na kama kuna marekebisho basi wayapendekeze kwa NEC iyafanyie marekebisho.

Wakati wawakilishi wa vyama vingine walipiga kimya na kukubali tu kupitishwa.

Hongera sana katibu bora wa chama bora cdm.
Yaani unampongeza kilaza ambaye ameshindwa kusoma mpaka awapelekee mabwana zake wakamsaidie kusoma!!?
 
Vilaza ni wale walio pewa documents tatanishi zinazo hitaji kusoma na kuzichambua wao wakapiga saini tu, kwao bora posho
Yaani unampongeza kilaza ambaye ameshindwa kusoma mpaka awapelekee mabwana zake wakamsaidie kusoma!!?
 
Ndiyo maana wanaichukia sana cdm maana viongozi wake ni watu wenye uelewa sana na wapo pale kwa nia haswaa ya kuwahudumia wananchi.
Uelewa upi wakati sasa hivi mnaumbuana tu. Wabunge 17 wamejitambua hata hawataki kusikia Chadema halafu unasema mnauelewa kweli? I think you are kidding!
 
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.

Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani documents zilikuwa zinawahitaji wasome na kusaini.

Huu ni mchezo wa paka kumuandalia chakula panya, yaani walitakiwa wapewe muda angalau wa kuzisoma na kama kuna marekebisho basi wayapendekeze kwa NEC iyafanyie marekebisho.

Wakati wawakilishi wa vyama vingine walipiga kimya na kukubali tu kupitishwa.

Hongera sana katibu bora wa chama bora cdm.
Alisaini?
 
Ccm hawana hati miliki ya kuongoza nchi hii, hivyo hicho kikao kipo kulingana na matakwa ya sheria za nchi ya Tanzania na rasilimali za kuandaa hicho kikao ni za watanzania pia
Sasa mbona bado mnaenda kwenye mikutano yao si mwache vyama vingine viendelee na mchakato!
 
Vilaza ni wale walio pewa documents tatanishi zinazo hitaji kusoma na kuzichambua wao wakapiga saini tu, kwao bora posho
Wale wameelewa ila vilaza hawajaelewa na hakuna kitakachobadilika kama hamtaki susieni uchaguzi sisi tuendelee!
 
Hivi nani kakudanganya kuwa mbunge kuhama chama kimoja kwenda kingine ni kosa la jinai?
Uelewa upi wakati sasa hivi mnaumbuana tu. Wabunge 17 wamejitambua hata hawataki kusikia Chadema halafu unasema mnauelewa kweli? I think you are kidding!
 
Ccm hawana hati miliki ya kuongoza nchi hii, hivyo hicho kikao kipo kulingana na matakwa ya sheria za nchi ya Tanzania na rasilimali za kuandaa hicho kikao ni za watanzania pia
Watz kweli lakini siyo wasaliti na waabudu mabeberu!
 
Hapo ndiyo nilikuwa nataka uangukie na kwakuwa huna akili basi umeangukia hapo hapo.

Back
Top Bottom