Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Kweli naamini cdm isipo pata mbunge hata mmoja ndiyo itakuwa green light ya Bashite kwenda usa
Mwaka huo mkipata hata mbunge mmoja mkatambike!
 
Mabeberu wapi wale mnao wapigia magoti kila siku na bakuli mkononi?
Hujui maana ya mabeberu siyo kila mzungu ni beberu bali ni wale wazungu wanaoshirikiana na wasaliti kutuvuruga ndiyo mabeberu. Amka kijana kutoka usingizini
 
Kweli naamini cdm isipo pata mbunge hata mmoja ndiyo itakuwa green light ya Bashite kwenda usa
Unaona unavyowaabudu mabeberu kwani USA ni mbinguni? Au asipoenda hatakula?
 
Pompeo alivyo mpiga ban Bashite mliwaita USA kuwa ni mabeberu, lkn njaa imewabana mnawaita wadau wa maendeleo
Hujui maana ya mabeberu siyo kila mzungu ni beberu bali ni wale wazungu wanaoshirikiana na wasaliti kutuvuruga ndiyo mabeberu. Amka kijana kutoka usingizini
 
Mlio wapigia magoti juzi kuwaomba msaada, leo hii tena unaanza kuwatukana?
Unaona unavyowaabudu mabeberu kwani USA ni mbinguni? Au asipoenda hatakula?
 
Mlio wapigia magoti juzi kuwaomba msaada, leo hii tena unaanza kuwatukana?
Wao ndiyo wanaleta lazima tuchukue pia kumbuka tunarudisha mali zetu walizotuibia siku nyingi wakati wa kikoloni.
 
Kawaida masikini hana chaguo
Wao ndiyo wanaleta lazima tuchukue pia kumbuka tunarudisha mali zetu walizotuibia siku nyingi wakati wa kikoloni.
 
Kiukweli kuna kila sababu ya kuamini kwamba CCM inaogopa uchaguzi baada ya NEC kuanza kulazimisha mambo ya hovyo yanayoitia aibu nchi.

Miaka mitano siasa zimefanywa na CCM tu vyama vingine vimezuiliwa na kupigwa mabomu lakini bado ccm haijiamini !

Msikilizeni Mh. Mnyika mjionee uchafu.
 
Attachments

  • Part 1 ( 360 X 640 ).mp4
    3.5 MB
Mnyika anahali mbaya jimboni kwake

Badala ya kuhangaikia vimeo vyake jimboni analeta porojo

Subiri October wamnyoe, Chadema ibaki bila ruzuku sijui atakula nini
 
Chadema habari nyingine, jamaa wanaweka kanuni za hovyo kujidanganya, hizo kanuni hazisainiwi na uchaguzi watashiriki, muda wa kutishana ulishapita.

CCM wamefanya siasa za bombardier na flyover miaka mitano, bado wanawaogopa ambao hawakuwahi kupanda jukwaani hata mara moja, ajabu sana.
 
Mnyika anasubili kuachia Jimbo hapa hatutaki upuuzi apeleke huko kwao
 
Mnyika yuko sahii ccm imeshakuwa maiti ,,wanachi tunasubiri kufanya demonstration kuondoa hawa Majambazi wa ccm wote hili tuwazike maporini wakaliwe na Mchwa
 
kutapatapa ndio nini , hivi ccm imeanza kuwa na vijana duni kiasi hiki ?
Anatafuta pa kutokea tangu vijana wa msigani watake kumchapa kwa kujipeleka mbelembele kwenye tamasha lao akaokolewa na DC wa ubungo hana lolote
 
Kiukweli kuna kila sababu ya kuamini kwamba CCM inaogopa uchaguzi baada ya NEC kuanza kulazimisha mambo ya hovyo yanayoitia aibu nchi.

Miaka mitano siasa zimefanywa na CCM tu vyama vingine vimezuiliwa na kupigwa mabomu lakini bado ccm haijiamini !

Msikilizeni Mh. Mnyika mjionee uchafu.
Weka video yote kama unayo
 
Back
Top Bottom