Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Mbona wewe sio mbunge na hujafa.
Lumumba wanalifanya bunge kuwa ndiyo kimbilio la kujiingizia kipato, wakati pale ni sehemu ya kwenda kuwakilisha mahitaji ya wananchi na kutafuta utatuzi.
 
https://www.ippmedia.com/sw/habari/nec-viongozi vyama-vya-siasa-vyajadili-maadili-uchaguzi

 
Anatafuta pa kutokea ila ubunge ausahau maana hata pata hata kura moja
Hakuna alie zaliwa na ubunge wewe kila Sikh nasema mkitaka pelekeni mswada bungeni mfute vyama vyote vya upinzani mbaki nyie tu akidi yenu ni kubwa sana na cdm inatoa jasho sana
 
Yaani sijui hawa lumumba wanaogopa kitu gani kutoka kwa wapinzani wa kweli!

Yaani wakiona Lyatonga anavyo sinzia bungeni ndiyo wanamuona bonge la mbunge!
Hakuna alie zaliwa na ubunge wewe kila Sikh nasema mkitaka pelekeni mswada bungeni mfute vyama vyote vya upinzani mbaki nyie tu akidi yenu ni kubwa sana na cdm inatoa jasho sana
 

Watasema katumwa na MABEBERU .....!!!!
 
Hakuzaliwa mwana siasa mnyika wananchi ndio waamuzi sio nyie huku siasa ni ushindani sio uadui kama wenu
siasa sio uadui ndo maana wana ccm wa kibamba tukamnunulia jiko la mishkaki la kuanzia maisha mapya 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…