Wasiposameheana hao waliopoteza maisha watarudi?Ni kweli wamefanya vizuri lakini pia ni kitendo kinachoonyesha kuwa siasa ni mchezo mchafu sana, wakenya wengi wamepoteza maisha kwa vuguvugu hizi, lakini leo kiurahisi tu watu wanashikana mikono eti wanasameheana, vipi kuhusu waliopoteza maisha? Ni siasa za maji taka hizo.
Not only cheap..but extremely poor argument..Ameelewa somo baada ya kammpuni zake wanachama wa raila kususa kununua bidhaa zake Na kujikuta akila hasara ya uhakika kaona yaishe.Hapo Ni business interest zake zimeguswa akaona isiwe nongwa aombe msamaha yaishe ili wafuasi wa Raila waendelee kununua bidhaa za kammpuni zake
Uhusiano wa Lowasa Na Kenyatta ulikuwa purely for business interest Chadema mkaingia mkenge mkambwaga Raila odinga rafiki yenu wa miaka kisa Lowasa!!!!! Mwenye business interest Na Kenyatta family Na wamasai matajiri wa Kenya.K anakulisha foreign policy ya chadema Na Kenya kienyeji tu kwa interest zake Na chadema wakadakia una badilisha he foreign policy ku suit individual? Chadema mlichemkaNot only cheap..but extremely poor argument..
You sound LUNATIC..!!
Siasa tanzania imetuvaa vibaya na tumeingia mkenge kila kitu ni upinzani wa simba na yanga si ajabu wakina bashir na kabudi hulazimika kuwa vile ili kuuvaa uhusika halisi wa hizi timu za simba na yanga wakiacha taaluma walizosomea na kugeuka mandondochaUhusiano wa Lowasa Na Kenyatta ulikuwa purely for business interest Chadema mkaingia mkenge mkambwaga Raila odinga rafiki yenu wa miaka kisa Lowasa!!!!! Mwenye business interest Na Kenyatta family Na wamasai matajiri wa Kenya
Yani kwa Tanzania mpaka inatia kinyaa..Huku wenzetu wakisameheana sisi tunasusiana misiba kwa sababu za kijinga kabisa halafu tunadai tunajenga umoja wa kitaifa.
Bunge lasusa mazishi ya Mwalimu Bilago na kurudi Dodoma. Wabunge wa CCM waamriwa kuondoka msibani
Ukipona akili uje uzungumze tenaTanzania haina cha kujifunza Kenya ila Kenya wana cha kujifunza Tanzania
Full stop
Hilo haliwezi kutokea hata siku moja..Tatizo lako inaweza kuwa lugha au ujinga,
"I ask for your forgiveness and I tender my apology", President Uhuru tells Raila and all Kenyans.
Rais Jiwe anaweza kujishusha hivyo na kusema hivyo mbele ya watanzania?
Narudia Tanzania hakuna cha kujifunza Kenya ila Kenya ina cha kujifunza TanzaniaUkipona akili uje uzungumze tena
bora jiwe kuliko uhuni wa wakenya mkuu... hao hawajawai na hawatakuwa wapinzani.. watoto wa ikulu hao... wamekuwa pamoja.. ni wasanii tu... Wanatumia ujinga wa watu kuongoza Kenya... Bora ya jiwe kuliko uhuni waoKuna tofauti kati ya rais na jiwe
Ndio Maana apa Bongo, siasa tunafanya kinafiki nafiki, Maana wanasiasa wapo kwa ajili ya matumbo yao na family zao.Ni kweli wamefanya vizuri lakini pia ni kitendo kinachoonyesha kuwa siasa ni mchezo mchafu sana, wakenya wengi wamepoteza maisha kwa vuguvugu hizi, lakini leo kiurahisi tu watu wanashikana mikono eti wanasameheana, vipi kuhusu waliopoteza maisha? Ni siasa za maji taka hizo.
Bidhaaa gani? Bangi nn?Ameelewa somo baada ya kammpuni zake wanachama wa raila kususa kununua bidhaa zake Na kujikuta akila hasara ya uhakika kaona yaishe.Hapo Ni business interest zake zimeguswa akaona isiwe nongwa aombe msamaha yaishe ili wafuasi wa Raila waendelee kununua bidhaa za kammpuni zake