IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Wasiposameheana hao waliopoteza maisha watarudi?Ni kweli wamefanya vizuri lakini pia ni kitendo kinachoonyesha kuwa siasa ni mchezo mchafu sana, wakenya wengi wamepoteza maisha kwa vuguvugu hizi, lakini leo kiurahisi tu watu wanashikana mikono eti wanasameheana, vipi kuhusu waliopoteza maisha? Ni siasa za maji taka hizo.