Hongera Kenya(Kenyatta na Odinga) kwa kuuona mwanga na kufungua ukurasa mpya!

Hongera Kenya(Kenyatta na Odinga) kwa kuuona mwanga na kufungua ukurasa mpya!

Ni kweli wamefanya vizuri lakini pia ni kitendo kinachoonyesha kuwa siasa ni mchezo mchafu sana, wakenya wengi wamepoteza maisha kwa vuguvugu hizi, lakini leo kiurahisi tu watu wanashikana mikono eti wanasameheana, vipi kuhusu waliopoteza maisha? Ni siasa za maji taka hizo.
Wasiposameheana hao waliopoteza maisha watarudi?
 
Pamoja na moyo wa upekee wa Rais Kenyatta bado siasa za Kenya ni ngumu sana kwasababu ya ukabila.Ndio maana Kenyatta anajaribu kwenda nao sawa.Bravo Kenyata,Bravo Kenya!
 
Jamaa amekulia state house ivo kuna vitu kwake sio inshu ila pia raila ameli discourage sana kundi la watu ambao ni die hard fans jambo la kujifunza usipigane kisa mwanasiasa
 
"Nikiwa rais watalimia meno"," atakayenipinga nitampoteza ndani ya dk.5". Mtu hunena yaliyoujaza moyo wake,roho iliyojaa visasi ikeshayo ikijiapiza kufanya uovu inaanzaje kuandaa makongamano ya upatanisho?

Hiiiiiiii!!! Yaya ghete.
 
Ameelewa somo baada ya kammpuni zake wanachama wa raila kususa kununua bidhaa zake Na kujikuta akila hasara ya uhakika kaona yaishe.Hapo Ni business interest zake zimeguswa akaona isiwe nongwa aombe msamaha yaishe ili wafuasi wa Raila waendelee kununua bidhaa za kammpuni zake
Not only cheap..but extremely poor argument..
You sound LUNATIC..!!
 
Wakenya wanajitambua,wanaondoa tafauti zao za kisiasa kujenga nchi yao,bila Umoja hakuna maendeleo,hawa watu wametupita kwa viwanda,sasa wanatupita kisiasa,wanatupita katika kuitekeleza demokrasia ya kweli,wakati Tanzania ndio kwanza wanaanzisha siasa za kuwaadhibu na kuwauwa wanasiasa wa vyama vya upinzani, Wakenya wao wanapatana kisiasa wanaondoa tafauti zao kwa madhumuni ya kujenga nchi yao..
Hongera Kenyatta..."You are truly politician "
 
Not only cheap..but extremely poor argument..
You sound LUNATIC..!!
Uhusiano wa Lowasa Na Kenyatta ulikuwa purely for business interest Chadema mkaingia mkenge mkambwaga Raila odinga rafiki yenu wa miaka kisa Lowasa!!!!! Mwenye business interest Na Kenyatta family Na wamasai matajiri wa Kenya.K anakulisha foreign policy ya chadema Na Kenya kienyeji tu kwa interest zake Na chadema wakadakia una badilisha he foreign policy ku suit individual? Chadema mlichemka
 
Uhusiano wa Lowasa Na Kenyatta ulikuwa purely for business interest Chadema mkaingia mkenge mkambwaga Raila odinga rafiki yenu wa miaka kisa Lowasa!!!!! Mwenye business interest Na Kenyatta family Na wamasai matajiri wa Kenya
Siasa tanzania imetuvaa vibaya na tumeingia mkenge kila kitu ni upinzani wa simba na yanga si ajabu wakina bashir na kabudi hulazimika kuwa vile ili kuuvaa uhusika halisi wa hizi timu za simba na yanga wakiacha taaluma walizosomea na kugeuka mandondocha
 
Huku wenzetu wakisameheana sisi tunasusiana misiba kwa sababu za kijinga kabisa halafu tunadai tunajenga umoja wa kitaifa.

Bunge lasusa mazishi ya Mwalimu Bilago na kurudi Dodoma. Wabunge wa CCM waamriwa kuondoka msibani
Yani kwa Tanzania mpaka inatia kinyaa..
JPM yeye amehubiri CHUKI mpaka sasa zimeshaingia kwa Wananchi..
Hana uwezo wala akili ya kufanya hiki ambacho amefanya Uhuru na Raila.
Yeye anachotaka ni kupambana na ikiwezekana kuwamaliza wapinzani wake wote..
Shame.
 
Tatizo lako inaweza kuwa lugha au ujinga,

"I ask for your forgiveness and I tender my apology", President Uhuru tells Raila and all Kenyans.

Rais Jiwe anaweza kujishusha hivyo na kusema hivyo mbele ya watanzania?
Hilo haliwezi kutokea hata siku moja..
Hana sio tu uwezo bali hata akili ya kufikiria hili la maridhiano..
Yeye akili yake ni namna ya kuwamaliza wapinzani tu..
Mfano halisi ni kama alivyomfanyia Tundu Lissu.
 
Ukipona akili uje uzungumze tena
Narudia Tanzania hakuna cha kujifunza Kenya ila Kenya ina cha kujifunza Tanzania

Tanzania inaweza isaidia Kenya kwenye usuluhishi wa migogoro ila Kenya haina uwezo huo

Wewe mla githeri huwezi elewa
 
Kuna tofauti kati ya rais na jiwe
bora jiwe kuliko uhuni wa wakenya mkuu... hao hawajawai na hawatakuwa wapinzani.. watoto wa ikulu hao... wamekuwa pamoja.. ni wasanii tu... Wanatumia ujinga wa watu kuongoza Kenya... Bora ya jiwe kuliko uhuni wao
 
Ni kweli wamefanya vizuri lakini pia ni kitendo kinachoonyesha kuwa siasa ni mchezo mchafu sana, wakenya wengi wamepoteza maisha kwa vuguvugu hizi, lakini leo kiurahisi tu watu wanashikana mikono eti wanasameheana, vipi kuhusu waliopoteza maisha? Ni siasa za maji taka hizo.
Ndio Maana apa Bongo, siasa tunafanya kinafiki nafiki, Maana wanasiasa wapo kwa ajili ya matumbo yao na family zao.
Mfano mdogo viongozi wetu wakiwa bado hawajachaguliwa wanaongea sana lakini wakishachaguliwa utulia kama mtungi kuna MTU asiemjua Humphrey Pole Pole yule wa katiba na wa sasa. Sasa tushaelewa siasa ndio Maana tunaenda kinafiki nafiki tuuu
 
Ameelewa somo baada ya kammpuni zake wanachama wa raila kususa kununua bidhaa zake Na kujikuta akila hasara ya uhakika kaona yaishe.Hapo Ni business interest zake zimeguswa akaona isiwe nongwa aombe msamaha yaishe ili wafuasi wa Raila waendelee kununua bidhaa za kammpuni zake
Bidhaaa gani? Bangi nn?
 
Back
Top Bottom