IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
....Za kupigiwa mfano ni hizi za kuokota watu kwenye kiroba siyo?Wengi wenu hamjui siasa za Kenya. Siasa za kenya ziko hivi hivi tangu wapate uhuru. Leo huyu anafanya ushirika na yule, Kesho wamekosana, keshokutwa aliyekuwa adui wa fulani ndiye mpiga debe wake mkubwa! Kwa kifupi wanajali matumbo yao na kila kitu wanachofanya wanakuwa wameweka maslahi ya matumbo yao mbele! Hivi nikikumbia kabla Uhuru hajachaguliwa kuna siku alienda nyumbani kwa Odinga wakiwa na familia yake na wakashinda wote huku wakila na kunywa utaamini? Siasa za Kenya siyo za kupigiwa mfano hata siku moja.