Hongera Kocha Benchikha kwa kuikimbia fedheha hii. Tatizo la Simba ni wachezaji wa kiwango cha chini

Wachezaji wote shikamoo jazz band.
 
Kocha anatakiwa kuwafundisha wachezaji wabovu wacheze vizuri.
Kocha anatakiwa kugundua vipaji vya wachezaji.
Kocha anayetaka apewe wachezaji wazuri ili awe anashinda mechi sio kocha bali ni muwekezaji anayetaka sifa kwa juhudi na vipaji vya wengine.
Mkataba wa mwaka mmoja anaweza kufanya hayo?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kocha anatakiwa kuwafundisha wachezaji wabovu wacheze vizuri.
Kocha anatakiwa kugundua vipaji vya wachezaji.
Kocha anayetaka apewe wachezaji wazuri ili awe anashinda mechi sio kocha bali ni muwekezaji anayetaka sifa kwa juhudi na vipaji vya wengine.
Academy ndio sehemu ya kufundishwa kucheza, ukija timu kubwa kocha anafundisha mifumo tu na mbinu.

Mtu kama Saido na Kibu Denis leo unawafundisha nini?
 
Simba ife tu , alisikika mpiga debe fulani hiv
Sisi Wanayanga tunasema hapana. Yanga itkuwa dhaifu. Mpinzani wako Bora na Imara hukufanya ujiongeze kila wakati na kukufanya kuwa makini na imara zaidi yake.
 
Academy ndio sehemu ya kufundishwa kucheza, ukija timu kubwa kocha anafundisha mifumo tu na mbinu.

Mtu kama Saido na Kibu Denis leo unawafundisha nini?
Saidoo ni mzee, Kibu bado anafundishika.
Kuna vijana Simba kama Balua, Chasambi, Kabaraka, nk.
Kocha mzuri anauwezo kuwaongezea ujuzi na wakawa wachezaji wazuri.
Masoud Juma aliweza kumfundisha Rashidi juma hadi akawa anacheza machi za Kimataifa vizuri.
Masudi alipoondika Simba Kipaji cha Rashidi kikafa mazima.
Sio Kocha kama Maurinyo
 
Anamalizia kutayarisha kitabu chake cha MIEZI 6 YA UKOCHA WANGU KWENYE TIMU YA SIMBA!
 
5imba never had been kampa kampa tena.Oga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…