Imekaa kama ilivyoandikwa na amefanya jambo jemaSijui story imekaaje ila jamaa ni mstarabu sana
ndugu lawamaMzungu mzungu tu,usikute jamaa hana mshahara mkubwa wala maisha makubwa lkn moyo wa kusaidia anao,akina sisi sasa ndugu tu humtaki
sasa anaongea kireno vema tuIla huyo mtoto je atabadilishwa uraia au ataendelea kuwa Mtanzania. Na je ubin wake utabadilishwa? Maana naona sogo yeye ana passport ya Tanzania.
Mwenye uelewa kuhusu sheria za adoption za hapa Tanzania atupe somo.
Mkuu unataka nianze kukufundisha kusoma? Au umeamua tu uni quote ili tuanze kubishana.Sio kweli asilimia kubwa ya wabrazili ni wapenda starehe kina dinho,delima,andriano jamaa walikuwa wakikesha usiku na malaya pamoja na ulevi alafu asubuhi yake wanaingia mazoezi.
tafuta passport mrembo nikuchukue tukale bata CanadaHivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Wewe tafuta ndoa. Kama una hela ya nauli nakuunga na jamaa yangu anakuoa ndoa ya mchongo ukipata visa ya makazi baada ya muda unatembea mbele kufanya mbishe zako.Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Kwa huku Mburahati hakuna limitation. Panda daladala la Mnazi mmoja - Mburahati kupitia Kigogo shukia Madoto uje "nikuasili" kwa siku 3.Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Yupo nchi gani, ahsante shemeji angu naomba uniunganishe naeWewe tafuta ndoa. Kama una hela ya nauli nakuunga na jamaa yangu anakuoa ndoa ya mchongo ukipata visa ya makazi baada ya muda unatembea mbele kufanya mbishe zako.
Bariadi sitaki 😁Eve njoo nikuchukue mimi basi
Ukiniasili si unanishughulikia na kila kitu kakatafuta passport mrembo nikuchukue tukale bata Canada
Sahivi wana msifia mnoo, ngoja mtoto akue, aamue akae upande upi kwenye sexual orientation, tusikie lawama km mile za kwa Madonna
Unachukulika tuHivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Wabrazil wote katoliki, sema ni kalismatic/emaus.Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.
Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
brazil hawana ujinga huo na kuna dini kuliko ulaya.Sahivi wana msifia mnoo, ngoja mtoto akue, aamue akae upande upi kwenye sexual orientation, tusikie lawama km mile za kwa Madonna
Nadhani haina umri Mkuu, vipi naweza kukuasili? 😅Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
ndiyoUkiniasili si unanishughulikia na kila kitu kaka
Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...