Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyo mmarrekani ndio namtafuta hadi chini ya bahari matola, kama upo nje nichukue basiYani wewe kamata Mmarekani wako funga ndoa imeisha hiyo ubalozini usumbuliwi hata chembe, unalamba viza kiulani na Uraia uko njiani.
Hili linchi la matozo unaweza kufa siku si zako, hapafai kabisa.
Nimeshakuwa family man sasa, aisee kama siyo familia huniweki Bongo hata kwa viboko, yani kwa sasa nikisafiri nje ni short stay tu.Huyo mmarrekani ndio namtafuta hadi chini ya bahari matola, kama upo nje nichukue basi
Niko tayar kukuchukua sio ku adopt tu....Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Mara paap connection imeenda kwa wauza Figo Mimi sipoMjukuu naomba connection nikafie mbele nirudi parcel 🤣
Ila wamefanana Kiana.Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao
Hakika kwa imani na matendo yake nina imani mtoto atalelewa katika kumjua Mungu.
View attachment 2661365View attachment 2661366
Umemsahau Kaka .Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.
Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
Huijui Brazil wewe,watu wanakula nyama za binaadam!!Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.
Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
mawazo yako yote umeyaelekeza kwenye kisamvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufikiia penyewee, sio kwa kulipuka hukoo.
Nimeshakuwa family man sasa, aisee kama siyo familia huniweki Bongo hata kwa viboko, yani kwa sasa nikisafiri nje ni short stay tu.
Yani ukiacha kujichanganya pili acheni ubahiri, usiingie dating site za free, jiunge na dating site za kulipia utakuja kunishukuru, make sure bank account yako una Viza card inayokupa access ya kufanya malipo direct kutoka kwenye account yako kwenda popote.
Halafu hizo account zenu za Facebook safisha kabisa ondowa matakataka au funguwa mpya.
In six month period utakuja kutowa testimony hapa.
Sio kweli katika jamii ambazo zinaongoza kubebana ni waafrica mtoto wa mjomba na wa mashangazi kila familia wapo..Mzungu mzungu tu,usikute jamaa hana mshahara mkubwa wala maisha makubwa lkn moyo wa kusaidia anao,akina sisi sasa ndugu tu humtaki
yeah hata huyo mtoto wanaenda kumla nyama.Huijui Brazil wewe,watu wanakula nyama za binaadam!!
Acha ujinga!Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Tayari umeasiliwa kinguvu na waarabu wa Dp world kwa mkataba wa milele.Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Ujinga!Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Kwa uelewa wangu kuña malezi ya kambo ..foster care ,na adoption ...Kiasili.Malezi ya kambo ni pale mtoto anapochukuliwa Kwa malezi ya muda! Kuasili ni pale mtoto aliyekuwa ktk malezi ya kambo,anapohalalishwa kuwa mtoto wa kisheria wa Walezi wa kambo! Maana yake anabadilisha na urai! Kwa wàgeni mchakato wake una urasimu kidogo..sasa sijui Gomez Kwa kipindi alichokaa Singida amwezaje kuasili mtoto...pengine mwandishi kakosea amemchukua kwa malezi ya kambo...kuelekea kuasili!Ila huyo mtoto je atabadilishwa uraia au ataendelea kuwa Mtanzania. Na je ubin wake utabadilishwa? Maana naona sogo yeye ana passport ya Tanzania.
Mwenye uelewa kuhusu sheria za adoption za hapa Tanzania atupe somo.
Acha uzwazwa chumvi, ww ushakomaa hivyo mtu akuchukue akupeleke wp[emoji848][emoji848]Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Acha tu ujinga😂😂Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...