Matthew 5:13Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah
Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Mathayo 5:13Niushirikina tu Hakuna kitu kibaya kama kumshirikisha mwenyezi Mungu
Labda kama hayo maji ya Kina kirefu.Kuogelea kwenye maji ya chumvi ni sawa na kuogea chumvi ya mawe?
Mende,panyaHasa mchwa na siafu
Amebweteka kwenye kuamini ni chumvi tu itasaidia hawezi kujiongezaInawezekana hiyo chumvi ya mawe imesababisha akapata akili jinsi ya kuboresha biashara yake
Kila mtu ana uhuru wa kufikir na kuamini anachotaka.Amebweteka kwenye kuamini ni chumvi tu itasaidia hawezi kujiongeza
Kwani kutumia chumvi kunaondoa nafasi ya imani ya mtu kwa Mungu? Mbona maji ya Zamzam hayasemwi kuwa ni ushirikina?Maombi na Imani vinaelekezwa kwa Mungu Pekee si kwa watu au vitu ukiingiza vitu vingine katikati ndo mwanzo wa ushirikina
Umetumia silaha kali sana mkuuKila mtu ana uhuru wa kufikir na kuamini anachotaka.
Mfano wewe mzee wa sewage system unaamini sewage system ni dili wakati mwengine anaona anaekula sewage system ni mentally unstable and unbalanced.
Umenisoma mzazi!!
It's matter of opinion, faith and preference.
Na hii haikufanyo wewe ni mjanja zaidi ya wengine Sababu mnatofautiana mtizamo.
Na maji ya baraka hawasemi ni ushirikina.Kwani kutumia chumvi kunaondoa nafasi ya imani ya mtu kwa Mungu? Mbona maji ya Zamzam hayasemwi kuwa ni ushirikina?
Mkuu jamaa hapo katumia hio chumvi katika biashara zake. Huu ni ushuhuda wake.Umetumia silaha kali sana mkuu
Biashara ni strategies th mambo za chumvi, kusali sana, ushirikina BIG NO
Dawa ya macho ukinawia uso badala ya kutia machoni halafu usipopona macho utalalamika kwa nini hujapona?Na sisi ambao tunaiunga kwenye vyakula inakuwaje sasa ,mbona mambo yako kawaida.
Japo kiasi fulani imani hufungua nguvu zilizopo ndani yetu, ila lala uoe kama ,chumvi ,Mungu, yesu , au Allah atakusaidia ufanikiwe[emoji16][emoji16]Hao wauzaji wa hyo chumvi miaka nenda rudi wanauza hawaja upgrade maishq yao yale yale ya sokoni...inamaana hawajaona umuhimu wa hyo chumvi waanzishe ma mall?
Wengi imekuwa rahisi kujua yaliyo shirki kuliko kujua njia zipi zisizo shirki kwenye kutatua matatizo yetu.Hiyo ni shiriki, tujiepushe na shiriki.
Weka kwenye engine ya gari pale unaweka engine oil. Hutanishukuru baadae[emoji2089][emoji2089]Mi nimeiweka ndani,Nanunua vitu vya ndani balaa....sijui nikaiweke kwenye gari ya mtu ninunue magari pia?[emoji855]
🤣🤣🤣 HiWeka kwenye engine ya gari pale unaweka engine oil. Hutanishukuru baadae[emoji2089][emoji2089]
Tumia chumvi ya mawe Acha ubishi wew😊😊🤣🤣🤣 Hi