Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

biashara inahitaji kitu cha ziada either usali sana au uroge sana kama huwezi kati ya hivyo vitu viwili usifanye biashara
Biashara ni imani tu, unaweza ukawa neutral na hurogi na ukafanikiwa freshi tu japo haitakuwa kwa big boom ila itakuwa through natural ways.

Kibaya ni kwamba kwa bongo ukiwa neutral unapata upinzani kutoka kwa wenzio waliokuzunguka ambao watakuwa wanatumia hizo njia za giza. So inakubidi kujitakasa wewe binafsi ndio unatumia strategies kama hizo chumvi ya mawe ambayo ni njia ya asili ya kuua zile negative forces zilizoelekezwa kukudhoofisha.

Wengine wanatumia mafuta ya mzaituni ambayo ndio yale mnapewa na Mwamposa kama annointed oil.
 
Mshamba huyo jamaa๐Ÿ˜‚ biashara za kibongo ukiwa ume chill utashangaa unalipa kodi tu hadi unafilisika๐Ÿ˜!

Wanaofaulu zama hizi ni wanaotumia mitandao kufanya pre-sales maana hamna uchawi online ๐Ÿ˜. Sahizi mtu labda akukaange kwenye kodi ila sio kimila.

Ila ile style ya zamani ya kukodi fremu kujaza bidhaa na kusubiria watu waje kununua lazma uwe na Air defense kama ilivyo "Iron Dome" , "Patriot" , "S500 ya mrusi" mbali na yote mmiliki uwe na guard. Ndio maana mnashangaa wakinga wanafungua biashara katikati ya waha na ku boom mnahisi ni mtaji tu ndio unafanya kazi?๐Ÿ˜ Kaweke na wewe million 20 zako ukae tu uone unavyofilisika.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwetu sisi tulioamini huo ni ushirikina. Huu mjadala siupendi, tuuache.

Amini unachoamini Mkuu.
Umeshajipata. Njaa ni kama game. Zinaenda kwa stages na levels.

Mtu anapigwa Njaa "advanced difficult level", halafu ame loose ties, marafiki, ndugu na jamaa wote wamemchoka.

Kifupi yuko vitani katika nchi yenye amani na utulivu ๐Ÿ˜†

Makazi kapanga mwenye nyumba ana kelele, mke mvumilivu mzuri, mitraako na sura,lakini anauliza uliza maisha haya mpaka lini?

Dingi alishaanza kuwaza hili jamaa ni jinga, linashindwaje kujikwamua.

Halafu anatokea mtu anahubiri kajipaka mavi ya mjusi, sijui chumvi ya mawe mambo yametiki.....lazima awahi hilo jaribio.
 
 
Huu ukweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ