DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
2 Wafalme 2:19-22
"19 Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angalia, twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo; lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mapooza.
20 Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea.
21 Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.
22 Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena."
Someni neno, acheni maneno!
mkuu sorry kusema una kichwa kigumu. mbona alieleza ile commente ya 1 ikaeleweka alichomaanisha.Kwahiyo ukitumia hy chumvi ndio unaweweseka au ?
mkuu sorry kusema una kichwa kigumu. mbona alieleza ile commente ya 1 ikaeleweka alichomaanisha.
Umebakiza hatua chache uanze kupaawatu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.
watakutukana na watakukejeli.
ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!
weka manuizi yako kabla hujaoga.
usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha FedhaView attachment 2895938
huo hapa mjani wa Muosha Fedha
Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika
View attachment 2895939
Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
Umebakiza hatua chache uanze kupaa
Comment bora ya uzi huu, wakati wako ukifika hata ukijipaka mavi bado mambo yako yataenda tu.Ninavyoamini mimi kila mtu anazo era mbili,wakati wa kustawi sana na wakati wa kusinyaa so mleta mada upo kwenye wakati wako wa kuzishika sasa ni wewe na matumizi yako mtaamua uendelee kustawi au usinyae.
Kumbe😳😍😍😍🙏🏽Yes ni dawa unaweka maji moto unaweka chumvi ya mawe unaacha inapoa kiasi unakalia ule mvuko upande juu ya uke
Ile sijui miwasho sijui fangasi inapona
Umenichekesha kweli, kwa hiyo shirki ni kwenda kwa mganga pekee?Dah Dada angu bado mdogo kbsa ktk ulimwengu huu huo sio ushirikina kabisa kama huamini ndio huamini tu kumshirikisha Allah ni kwenda kwa mganga akakulia pesa zako .
Mungu ameamua kukubariki kwenye kazi zako. Mungu si chumvi wala athumani. Mpe sifa zake.Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya
CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i
Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani
Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi
Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana
Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali
Poa shukraan mkuubafu langu lipo na choo hapo hapo ila kama unaweza kuogea nje au seh safi zaidi itakua poa
Imani za kijinga kama hizo ndizo zinazoturudisha nyuma WaafrikaKama umesoma Uzi wake vizuri amesema ni Imani. Na hiyo ndio point
Kwa nini umeambiwa baada sala uombe dua au kuna dua za sabaha na masaa hizi zote ni protection kumshirikisha allah ni kuomba kiti kisichokuwa Allah ,kuna vitu Allah kavipa nguvu mfano Surat Yaasin Ayat Kursii na mambo kibao .Umenichekesha kweli, kwa hiyo shirki ni kwenda kwa mganga pekee?
Ndio maana nasema mijadala ya hivi siipendi.
Logicmleta mada nakuunga mkono moja kwa moja.
anaeamini aamini asie amini pia halazimishwi kuamini.
Nina maana yangu mkuumkuu sorry kusema una kichwa kigumu. mbona alieleza ile commente ya 1 ikaeleweka alichomaanisha.
Wewee malafyaleMi nimeiweka ndani,Nanunua vitu vya ndani balaa....sijui nikaiweke kwenye gari ya mtu ninunue magari pia?🤒