Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,392
- 1,818
Mpaka migogoro[emoji1373][emoji23]Ila kisaikolojia hii hali ipo.. Unakuwa kabinafsi binafsi hiviii, hutaki kubanwa, hutaki kuombwa tumizi halafu miaka inaenda cha maana unachofanya hakuna, wenye ndoa wanakuzidi vyote mpaka migogoro...