Hongera kwa wote walioamua kuoa

Hongera kwa wote walioamua kuoa

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi!

Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee

Mwanamke akilala kwangu siku mbili tu naboreka! Napenda zaidi short time sipendi kulala tumebanana kama jela.

Kijana utakuwa na matatizo ya akili,au hujui jambo hili au unayo yote kwa pamoja.

Lakini unaweza kuoa na mkawa mnalala aidha vyumba tofauti au vitanda tofauti,mkiwa mna hamu ya jimai mnakutana. Maisha mepesi sana.

Mimi nimeoa na silali kitanda kimoja na wife.

Kwahiyo oeni vijana,acheni kuleta ujuaji kwenye hakuna,msiwe kama "SIFURI KISIRANI".

Shukrani
 
Umechoka kulala nae tu je akianza kuongea kama cherehani hata ule muda ambao wewe unataka ulale yeye anakupa umbea wote wa mtaani wakati hata kutembea hatembei si utampiga bomu wewe ?

[emoji28][emoji28]
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi!

Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee

Mwanamke akilala kwangu siku mbili tu naboreka! Napenda zaidi short time sipendi kulala tumebanana kama jela.

Unalazwa mchongoma nafasi yote kajitanua yeye
 
[emoji28][emoji28]
Trust me hii ndiyo kero kubwa kuliko zote ndani hasa ukiwa umeoa housewife muda mwingi anaangalia tv na kuchati ukirudi anataka amalizie hamu yake ya kuongea ya mchana kutwa na aimalizie kwako.

Wewe wakati huo umechoka umeishia kupiga kagoli kamoja chali mwenzako ndiyo anaanza sasa zile mbele mbele mbele mbele.
Wewe hapo unabaki kuitikia tu aoooh akiona unasinzia anakutikisa kidogo uamke
 
Ni kijana wa makamo ya kati na pia nina watoto kutoka kwa single mothers kadhaa
Kifupi bado upo kwenye 20's, ni ngumubsana kuelewa haya mambo...ila jua tu hakuna kitu muhimu kama kuwa na mwenza na haswa ukipata mtakaeelewana , Kuna dharula za kiafya ambazo si dada, mama au hata baba ataweza kukuhudumia. Kuna muda utavurugwa kichwa mke ndiyo atakutuliza. Subiri Ufike umri wa kutuliza kichwa ndy utaelewa.
 
Ukikaa muda mrefu bila kuoa ndivyo hali ya kulala na MTU kitanda kimoja inashindikana na hutoweza
 
Umechoka kulala nae tu je akianza kuongea kama cherehani hata ule muda ambao wewe unataka ulale yeye anakupa umbea wote wa mtaani wakati hata kutembea hatembei si utampiga bomu wewe ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Trust me hii ndiyo kero kubwa kuliko zote ndani hasa ukiwa umeoa housewife muda mwingi anaangalia tv na kuchati ukirudi anataka amalizie hamu yake ya kuongea ya mchana kutwa na aimalizie kwako.

Wewe wakati huo umechoka umeishia kupiga kagoli kamoja chali mwenzako ndiyo anaanza sasa zile mbele mbele mbele mbele.
Wewe hapo unabaki kuitikia tu aoooh akiona unasinzia anakutikisa kidogo uamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mbavu kwa kweli lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mbavu kwa kweli lol.
Huu ni mtihani sana halafu ukute hupendi kusikiliza vitu vya hovyo hovyo unakuwa mtihani sana.

Unakuta mwenzako anaanzisha story hata ya mapazia tu[emoji1],wewe wakati huo unawaza madeni yako yanayokujia ndotoni kila unapolala.
 
Hahahaha, Mkuu kama tatizo hupendi kubanana si uongeze ukubwa wa kitanda tu.
 
[emoji67]‍🦽[emoji67]‍🦽asikwambie mtu ukioa rafiki yako raha mpaka bhasi asipokuepo unatamani akuje hata kama mbali unatamani umpigie sim mama Samia amkodishie ndege akuje nyumban
Hamna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume,kama ingekuwa hivyo kwamba ukio rafikiyo ni raha basi kusingekuwa na migogoro kwenye ndioa as long as mumekutana ukubwani lazima karaha ziwepo tu.
 
Back
Top Bottom