Hongera kwa wote walioamua kuoa

Ila kisaikolojia hii hali ipo.. Unakuwa kabinafsi binafsi hiviii, hutaki kubanwa, hutaki kuombwa tumizi halafu miaka inaenda cha maana unachofanya hakuna, wenye ndoa wanakuzidi vyote mpaka migogoro...
Mpaka migogoro[emoji1373][emoji23]
 
Muoe halafu mjengee ki chumba chake nje. Ili siku ukibanwa hata na kifua asiwe mbali
 
Kwakweli hoja yako ina ukweli ndani yake.
 
Mwanangu wewe ndio kama mimi, na umri wangu unaenda na sijaoa, hapa nawaza sana yaani, ila ukitaka hii hali itutoke tusitafute wanawake wa abmotuk tu, tutafute wanawake ambao ni marafiki zetu kabisa, mbali na wapenzi.

Well said
 
Tafuta chumba kikubwa weka vitanda viwili...ukijiskia kulala alone unahama kitanda mbona easy...tu.
 
Ila kisaikolojia hii hali ipo.. Unakuwa kabinafsi binafsi hiviii, hutaki kubanwa, hutaki kuombwa tumizi halafu miaka inaenda cha maana unachofanya hakuna, wenye ndoa wanakuzidi vyote mpaka migogoro...

[emoji28][emoji28]
 
Punguza povu mkuu [emoji28][emoji28]
 
[emoji3]
Ila kisaikolojia hii hali ipo.. Unakuwa kabinafsi binafsi hiviii, hutaki kubanwa, hutaki kuombwa tumizi halafu miaka inaenda cha maana unachofanya hakuna, wenye ndoa wanakuzidi vyote mpaka migogoro...
 
Umechoka kulala nae tu je akianza kuongea kama cherehani hata ule muda ambao wewe unataka ulale yeye anakupa umbea wote wa mtaani wakati hata kutembea hatembei si utampiga bomu wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…