Hongera kwa wote walioamua kuoa


[emoji28][emoji28]unaweza ukarusha ngumi aisee
 
Ahsantee, akikua ataelewa umuhimu wake
 
Sio kweli kama una kibamia una Elea ndani ya ziwa Tanganyika utaipataje hiyo ngoma,kuna couples nyingi tu wanaume wanakutwa hawana ila wake zao wanao.

Shukrani kiranja wa vibamia wote jamii forum somo zuri sana hili [emoji28][emoji28]
 
Yaani mkuu wewe ungekutana na mimi nnavolala vibaya mkono mmoja kusini mwingine magharibi mixer kukoroma sijui nahisi ungenifukuza kesho yake😂
 
Kuoa raha sana.
Hasa upate "Soulmate"

Hata hii 5*6 naiona ni kubwa.
Vijana oeni. Mfaidi raha za dunia.

Cc Mwifwa
 

Kaka kuna wanawake wengne huwachok bado hujapenda wala kukutana na mnato wa kukufinyia ndani [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…