Hongera Lema, ukweli hata kama mchungu shuruti usemwe

Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

View attachment 2443641

Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.

Mimi nashangaa Mbowe anaamini CCM watafanya jambo la maana . Amuulize maalim pamoja na muafaka lakini walimwibia kura 2015 na 2020. CCM ni wabinafsi hawana wema.
 
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

View attachment 2443641

Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Mwambieni arudi nyumbani, Lema mhuni tu hamna kitu pale. Anyeweza kusikiliza Lema naye hamnazo.
 
Kwa hiyo Mbowe ana akili za kawaida?
 
Mwambie mungu wako aliemuondoa Magufuli bila kumwaga damu aiondoe ccm!
 
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

View attachment 2443641

Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Kwanza watanzania inatakiwa tushukuru serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu kuhakikisha democrasia imerejea nchini hata hili suala la kukaa meza moja na kutafuta maridhiano ni hatua kubwa sana kisiasa
 
Mbowe amesema yuko tayari kumpigia Magoti mwenyekiti wa CCM

Lema anamuuliza Mbowe mnajadili nini kwa mambo yanayohitaji utii wa sheria kwa katiba hii hii ya 1977?

Hapo alizingua, hata mimi nilimsikia kama kumpigia magoti Mwenyekiti wa CCM atafanya hivyo ili maridhiano yapatikane. Akawaulize akina ismail jussa walihangaika kiasi gani mpaka kupata
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

View attachment 2443641

Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.

Hakuna majadiliano na ccm ni kopotezeana muda tu
 
Walaghai ni hao ccm. Mbowe sijui amepatwa na nini? Sijui ameona uzuri gani kwa ccm mpaka leo?. Hajajifunza bado sawa.
 
Arudi Tanzania hii inayodaiwa trilioni 91?. Yani watoke majuu waje huku kwenye mgao wa umeme na maji. Bora waendelee kukaa huko huko.
 
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

View attachment 2443641

Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Nimeupenda uhuru huu wa mawazo bila kusutwa wala kutengwa na chama
 
NGO ile ni kikundi cha waharifu na Magaidi wakubwa. Walimshambulia Lisu, walishawahi muua chacha wangwe, Zitto mwenye mlamba asali mwenzao aliponea chupuchupu. Ni genge la wahuni kabisa

Una hasira sana. Kisaikolojia haupo vizuri unahitaji ushauri.
 
Rasmi CDM wajitoe kwenye vikao hivi:
View attachment 2443667

Mbowe anazingua sana. Amekubali kuchezewa na CCM. Mnajadiliana nini wakati vitu vidogo vimewashinda. Yani mnajadiliana kuhusu katiba mpya, wakati ni hao CCM waliharibu mchakato na huyo Mama Samiah ndio alikuwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba.
 
Walamba asali wapo ccm. Acheni kuleta ujinga wenunwa CCM huku CHADEMA. Lema kaongea ukweli, mnajadiliana nini mafichoni, wakati CCM wanasema wazi hakuna haja ya katiba mpya.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…