SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Walitaka kumla kiboga kudadadeq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitaka kumla kiboga kudadadeq
Mimi naamini kuwa ikulu ni mzigo mzito sana kwa nchi kama Tanzania!Mkimaliza kuparuana mtakuta CCM inaendelea kula maisha huko Ikulu 🏃🏃.
Asali tamu Sana ,safi Sana Mbowe
Ni wewe sasaMimi naamini kuwa ikulu ni mzigo mzito sana kwa nchi kama Tanzania!
Kumbe wenzetu mnaona kuwa ikulu ni kula maisha!!??
What a stupid joke is this!!???
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
View attachment 2443641
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Endeleeni kushangaa 😆😆Mimi nashangaa Mbowe anaamini CCM watafanya jambo la maana . Amuulize maalim pamoja na muafaka lakini walimwibia kura 2015 na 2020. CCM ni wabinafsi hawana wema.
Mwambieni arudi nyumbani, Lema mhuni tu hamna kitu pale. Anyeweza kusikiliza Lema naye hamnazo.Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
View attachment 2443641
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Kwa hiyo Mbowe ana akili za kawaida?Wajinga hawaelewi kuwa katiba na sheria vinaruhusu mikutano ya siasa, hivyo ni swala la kufuata katiba na kutii sheria tu na si kukaa vikao kujadili jambo lililoruhusiwa kisheria na kikatiba na hii ndio hoja ya Lema.
Niliwahi sema humu na leo narudiia, "watu wenye akili za kawaida, sometimes ni vigumu kuwaelewa watu wenye akili nyingi au watu wenye akili za ziada ".
Mwambie mungu wako aliemuondoa Magufuli bila kumwaga damu aiondoe ccm!Toka mwanzo nilijuwa hivyo vikao vya maridhiano ni utapeli wa mchana kweupe. Na CDM waliamua kuzungumza maana wanajua hata wakisema wafanye mikutano kwa nguvu, wataishia kuumizwa na kubambikiwa kesi.
CCM hawako tayari kwa maridhiano maana wanajua hawana ushawishi kwa umma, hivyo wanatumia hivyo vikao kama sehemu ya kutuliza pressure ya wapinzani kwenye kutawala. Inshort vikao vya maridhiano ni kupotezeana muda.
Mwambie mungu wako aliemuondoa Magufuli bila kumwaga damu aiondoe ccm!
Kwanza watanzania inatakiwa tushukuru serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu kuhakikisha democrasia imerejea nchini hata hili suala la kukaa meza moja na kutafuta maridhiano ni hatua kubwa sana kisiasaHuu ndiyo ulio ukweli mchungu:
View attachment 2443641
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Mbowe amesema yuko tayari kumpigia Magoti mwenyekiti wa CCM
Lema anamuuliza Mbowe mnajadili nini kwa mambo yanayohitaji utii wa sheria kwa katiba hii hii ya 1977?
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
View attachment 2443641
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Lema ameanza kumpinga Mbowe?
Sumu haionjwi
Upande uliojaa ulaghai ni ule wa Chadema kwenye Maridhiano kwa sababu Mbowe amesema hawezi kuwaambia wanachama wake kinachojadiliwa
Wakati Mwenyekiti wa CCM mh Samia ameueleza Mkutano mkuu wa Chana chake kuwa wao ndio Waamuzi kwenye Maridhiano kwa sababu ni Chana Tawala kilichopewa ridhaa ya kuongoza na Wananchi
Ninavyokumbuka kilichomkimbiza Lema na Lisu ni kumuogopa Dkt Magufuli asije akawaua, hata Lisu baada ya kuangukia pua uchaguzi alijifanya kukimbilia ubalozi na kuleta taharuki, na Dkt Magufuli alipofariki Lema na Lisu waliungana na memba wa NGO yao kushagilia na kusherehekea kifo cha mpendwa wetu. So aache visingizio arudi haraka Tanzania, maana yeye ndiye alianzisha usemi wa kuupiga mwingi. Aacha kuhamisha gori huyu mwizi wa magari na jambazi na tapeli kubwa
Nimeupenda uhuru huu wa mawazo bila kusutwa wala kutengwa na chamaHuu ndiyo ulio ukweli mchungu:
View attachment 2443641
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
NGO ile ni kikundi cha waharifu na Magaidi wakubwa. Walimshambulia Lisu, walishawahi muua chacha wangwe, Zitto mwenye mlamba asali mwenzao aliponea chupuchupu. Ni genge la wahuni kabisa
Rasmi CDM wajitoe kwenye vikao hivi:
View attachment 2443667
Ccm ni wahuni
Kabisa, lakini watu wana taka kuhalalisha kuwa hakuna aliyesema tofauti...
Kama vikao vile ni batili basi hakuna haja ya mwenyekiti kwenda kila mara kupiga magoti...
Kipindi kile cha JPM walilamba asali wote, wakapanda ndege kwenda mwanza na kurudi ktk sherehe za kitaifa
Leo ana lamba mwenyekiti pekee imekuwa nongwa kila siku vijembe...
Lema ana wageuka wenzie kisa wana kutana ubelgiji na marekani yeye canada ni kama wamemsahau, asali ina mpita