THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
We ni takataka kama alivyo yule mwehu wenu pale juu
Andiko limejaa hisia kuliko uhalisia.
nadhani hilo ni jambo muhimu sana gentleman,Friends and Enemies,
Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu.
Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia
Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua chini ya mwamvuli wa chama chake,je msajili wa vyama vya siasa haioni kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukifuta chama hicho kwa maslahi makubwa ya taifa letu?
Hatiani?Friends and Enemies,

Check again, your head may be empty! Unajua hata maana ya hiyo phrase “kutiwa hatiani”?Friends and Enemies,
Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu.
Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia
Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua chini ya mwamvuli wa chama chake,je msajili wa vyama vya siasa haioni kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukifuta chama hicho kwa maslahi makubwa ya taifa letu?
nadhani hilo ni jambo muhimu sana gentleman,
na binafsi yangu nadhani kwa wakati muafaka,
hatua dhidi ya chama hicho cha siasa kufutwa zitachukuliwa.
naunga mkono hoja
Mmeshikwa pabaya mafi nyiePunguza hasira
Check again, your head may be empty! Unajua hata maana ya hiyo phrase “kutiwa hatiani”?
Mmeshikwa pabaya mafi nyie
Kwenye ushaidi wa Lisu watatajwa hadi walioagiza kuuawa kwa watu zaidi ya elfu 10 ile oktb 29
Heee na wewe Crimea umewageuka CCM?Mmeshikwa pabaya mafi nyie
Kwenye ushaidi wa Lisu watatajwa hadi walioagiza kuuawa kwa watu zaidi ya elfu 10 ile oktb 29
Friends and Enemies,
Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu.
Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia
Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua chini ya mwamvuli wa chama chake,je msajili wa vyama vya siasa haioni kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukifuta chama hicho kwa maslahi makubwa ya taifa letu?
Yes,Hakika lilikuwa ni suala la muda tuh
Sasa.matusi hayasaidii