Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

Ofsini za vyama vya siasa na majengo miskiti na makanisa kama Lissu atafungwa jela Lazima tufanya kama Iran mwaga moto 🔥🔥🔥
 

Umesema kweli Mkuu

Walikuja na matokeo yao mfukoni
 
Acheni kumwonea wivu Lissu ana kibali,ndiyo mana watu wanamkubali na kumuamini kuliko walioko madarakani.
 
Mbowe alikua na kesi ya Ugaidi vipi hiyo kesi alifungwa kesi za kisiasa tunataka katiba mpya imalize huu upumbavu maana Lissu
 
huruma yote ilienda na kuishia wapi? ila binafsi naamini kabisa kibao kitakuja kugeuka tena lkn pia nafahamu kwamba hiyo siku ikifika wanaoteswa leo hii hawatapeleka revenge stahiki bali wataleta huruma ingawaje wao sasa hivi hawana huruma nao na hilo wanalijua na ndiyo maana hawajali ...

 


Hivi hata nyumbani kwako wanafahamu kuwa wewe ni mwendawazimu?

Hukumu haijatolewa, halafu jitu punguani linajiita BIG SHOW, linasema eti TL ametiwa hatiani!! Uhalifu na maovu yote nchi hii yanaonekana kutetewa na watu wenye akili ndogo sana kama hili BIG Show, Tlaatlaah, Mwashambwa, and the like.
Hii inatoa picha kuwa kumbe kukosa akili inapelekea mtu kupenda uovu!
 
Kwa sasa bado, akimaliza kuwasilisha ushahidi wake mahakama ndo inaweza kumkuta na hatia ama lah!!
 

Sasa hasira za nini??

Hasira hizo ungezitumia katika kwenda kumtetea yule dotto magari ungefanya jambo la maana sana

Sisi tunamfunga yule kichaa safari hii

Nyinyi si mnajichetua na kujifanya manunda?
 


Kama nchi imefikia mahali mtu unanyongwa kwa kusema hakuna uchaguzi basi nyie machawa hamjui mnashangilia nini. Itakuwa kama Polepole naye alifikiri wataumizwa upinzani tu sasa yuko wapi hata nyie wa CCM hamjali iko siku itarudi kwenu, kwa ndugu au kwa watoto na machawa wapya wakati huo watawacheka
 
Lissu ametiwa hatiani na wewe?
Sijaona mahala popote ikielezwa kuwa ametiwa hatiani!!?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…