Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

Lissu anataka Rais Samia awe shahidi wake ili amuulize kama hii kesi ameisikia.. hoja ya kijinga kupitiliza. Ninamshauri aombe msamaha yaishe.
 
Kipindi fujo zinafanyika uyo lisu alikuwepo wapi?
(Katikati ya chupi yako wewe) nimekudharau sana
 
Kwa hiyo TAL ni CHADEMA?
 
Jizi na lipenda rushwa limepost bila aibu
 
Kuambiwa ana kesi ya kujibu na hivyo achague kujitetea au kunyamaza kimya ndiyo ametiwa hatiani! Kweli safari hii tunatawaliwa na vilaza.
 
Usipotoshe tafadhali..

Mahakama haijamtia hatiani Tundu Lissu bali imeona kuwa "ana kesi ya kujibu"

Kutiwa hatiani na kuona kuwa Kuna haja ya wewe kujitetea ni mambo mawili tofauti..

Mtu akitiwa hatiani, hufuatiwa na hukumu palepale..

Kwa huu ujinga na ushenzi unaoitwa "uhaini" kesi hii haitafikia hatua hiyo kwa kuwa tunajua hii ni mbinu ya Samia ku - buy time Ili kupata unafuu wa muda(painkiller strategy) kabla ya DPP kuja na nolle..
 
Lissu anataka Rais Samia awe shahidi wake ili amuulize kama hii kesi ameisikia.. hoja ya kijinga kupitiliza. Ninamshauri aombe msamaha yaishe.
Chizi hashauriki

Amenasa kwenye mtego

Kama siyo kifungo basi anakula kitanzi kichaa yule
 

Sasa kama wana sheria wazuri kama nyinyi mpo bavicha kwanini mnamuacha dotto magari wenu ananyea debe muda wote huo?

Yule ana kesi ya kujibu na kifungo kinamuhusu
 
Bado hajatiwa hatiani,mpaka amaluze kujitetea ndipo Mahakana iratoa uamuzi kama ana hatua au hana
 
Bado hajatiwa hatiani,mpaka kujitetea ndipo Mahakana iratoa uamuzi kama ana hatia au hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…