Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada huna mange app?Kachafua hali ya hewa huko kwa Mange...wale wa apuni mtupe udaku
Tuweke udaku bby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada huna mange app?
Sina mdg wangu...nyieee shemeji yako hataki huo ujinga amesema akiikuta simu sina...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada huna mange app?
Kalukuwa kawaida sahvi eti naye yuko sokoniNusrat ni mnyaturu antena imepoteza channel
Hongera Sana
Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri.
Chumvi kapata chombo ya ukweli.
---
NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE
Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio walihudhuria tukio hilo.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram wa Mbunge Nusrat Hanje amethibitisha Hilo Kwa Kuweka Post "Happy birthday Mume Wangu" Huku akiambatanisha Picha ya Maulid Kitenge
mange kimambi kamuumbua vibaya kitenge kwenye app yake

Yaliyomo YamoKweli kuna jamaa hapa jirani yangu, tetesi zilikuwa zikidai kuwa jogoo wake hawiki, mimi nilipuuza maana anao hadi watoto ila hana mke,niliwahi kumuuliza juu ya kuoa akasema yeye hawezi kuoa maana wanawake ni wasumbufu sana.
Nimekaa baada ya muda nikawa naona anaishi na mwanamke,sikumuuliza, na yule mwanamke alikuwa mjamzito,mimi nikajua ameamua kuoa,hatari zaidi kuna siku huyo mke wake mjamzito alikuja kuvurugana na mwanamke mwingine ambaye inasemekana alikuwa hawara wa huyo jamaa,na nilikuwa namuona akija hapo( walikuwa wanamgombania huyo jamaa).
Sasa nikawa najiuliza mbona watu wanasema jamaa jogoo wake hawiki,je huyu mwanamke mwenye mimba kulikoni,je huyu mwanamke aliyekuja kupambana na mwanamke mwezie sababu ilikuwa ni nini ikiwa jamaa hawezi ku.t.o.m****.
Sasa bahati nzuri mke wajamaa pamoja na mke wangu wakawa marafiki na huyu mwanamke mwenye mimba ambaye ni mke wa jamaa,kuna siku akadokeza huyo mke,bwana mimi niko na huyu jamaa ila hii mimba si yake,na usimuone hivyo hana uwezo wa kusimamia show hatab nusu sekunde,kiufupi mtalimbo uko dolo toka kuzaliwa,ila anawivu sana asikuone umesimama na mwanamme.
Tuma hela ya malipo, [emoji23][emoji23][emoji23]Tuweke udaku bby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemeji tunae, hajarogwa wala hana haraka ya maisha. WoiiiiihSina mdg wangu...nyieee shemeji yako hataki huo ujinga amesema akiikuta simu sina...
Na kwa rich ankoz pia, [emoji23][emoji23][emoji23]Wenzenu kina Mau na Oska wanajiuza huko Marekani kwa ma rich Aunts nyie wanaume wengine mnakwama wapi? Safari za ulaya marekani kama zote...
Mhh huyo anaweza kuwa mke wa nne jamaa anawake wengii..
Hili taifa kuna watu wanapenda ndoa....wanandoa wa taifa
Haji manara, Maulid, Esma, Dida Taifa liwatambue
Ilifumuliwa nini?.Na kwa rich ankoz pia, [emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize oska nn kilimpataa. Uwiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alifumuliwa yeye, woiiiihIlifumuliwa nini?.