Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #141
ni sheedah ndugu yangu ndio maana wanawake wengi hawana maendeleo ya kuumiza kichwaAlways negativity towards their fellow women...sijui kwa nini
ana miaka mingap sa?Hapo kwenye miaka ya Wema nakataaa..
una risiti kuwa mtaji wake hauzidi mil 10?Huo mtaji hauzidi mil 10. Kwa mwaka hatapata faida hata ya kulipia pango lake kwa mwaka kwa kupitia hiyo biashara. Hizi boutique watu wanatafuta pesa za ziada tu.
Awe anavaa pampers na nepi? du!Hongera zake na akiwa mjanja awe anavaa anachouza ili kuwavutia wateja na auze bei za kizalendo sio nguo laki 5 unakuta blazzer tu
Doh una ubuyu mpaka natamani kukukodi unipe ubuyu nikulipesi aliwahi kuwa na kampuni kubwa hadi akaleta wasanii kutoka Naija..ilifia wapi ile? nakumbuka alifunguliwa na yule tajiri aliyeishia kuuza mishikaki ya chelewa na sasa yupo Segerea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]This time ni lake kweli????
Ile nyumba ya m400 alisema yake kumbe sio
Ile range hadi ikampa jina la madam range haikua yake
Kiss lipstick pia
kama ni lake kweli hongera zake
Ck huyoooDoh una ubuyu mpaka natamani kukukodi unipe ubuyu nikulipe
unasemaje?Ck huyooo
Ndo hvyo CK si yuko jelaunasemaje?
sijaelewa ulichoandika bro!
okNdo hvyo CK si yuko jela
Ck ndo alikua mtu wa kwanza kumpa Wema jinaa...jeuri....na kila kitu alimpa maisha mnoooo...
duCk ndo alikua mtu wa kwanza kumpa Wema jinaa...jeuri....na kila kitu alimpa maisha mnoooo...
Wema kashakodi ndege from Dar to Arusha na wapambe enzi hizoo anaitwa Kim K...upooo...!!!!
Bonge La sista duuu;!!anamwaga hela kama zoteee!!!
CK alikua mtu wa Ikulu dadaaaa!!sasa hivi kafuliaa na yuko segedance kwa matumizi mabaya ya fedha!!!!du
CK yeye ana shughuli gani mjini ya kumpaisha Wema namna hio?
kama huwezi andika hapa njoo pm unipe sinema
nipo sina pa kwendaCK alikua mtu wa Ikulu dadaaaa!!sasa hivi kafuliaa na yuko segedance kwa matumizi mabaya ya fedha!!!!
Wema ashawahi mtunza gari Dogie masta kwa Kazi nzuri ya kumtukana penny na Zari enzi hizoooo...Wema kashapiga meneja hotel mmesahau jina kwa jeuri ya fedha..upooo...
Akampa jeuri ya kupanga nyumbani ya mil279...akafanya marekebisho ya milioni 110...akaanzisha endless fame!!!akmlipia kajala 13mils on the spot akamtoa jela....!!!!akamiliki gari ya milioni 170 kama sikosei..!!akaanzisha kipindi cha kipindi cha 'in my shoes'nipo sina pa kwenda
enheee....
uuuuwi mdogowangu wa singida huyu katumbuaaaAkampa jeuri ya kupanga nyumbani ya mil279...akafanya marekebisho ya milioni 110...akaanzisha endless fame!!!akmlipia kajala 13mils on the spot akamtoa jela....!!!!akamiliki gari ya milioni 170 kama sikosei..!!akaanzisha kipindi cha kipindi cha 'in my shoes'
Wema amekula sana maishaa
Aahh!wapi wanyaturu akili za maendeleo wazitoe wapiii!!!s[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] amekula maisha Wemaa...mnoooo!!uuuuwi mdogowangu wa singida huyu katumbuaaa
angenunua Hisa jamaan si angekuwa mbalii
jooomooon
omandede!Enzi zile ndo Tanzania sweetheart not now.....nyumbuuu!!
Kajala akamsaliti shoga ake akalala na CK live...!!!Wema akasusaa akarudi kwa diamond mwananyamala akahamishwaa akaenda kupanga Tegeta mondi akamumshawishi arudishe kila kitu cha CK yeye atamnunulia..[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3]akarudisha ofisinii!!!CK akabeba kila kilicho chake...baasii story Za wema the boss zikaishia hapooo!!no Kim no naani!!![emoji3][emoji3][emoji23][emoji2][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]!!!
Aahh!wapi wanyaturu akili za maendeleo wazitoe wapiii!!!s[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] amekula maisha Wemaa...mnoooo!!
Na alivofulia alifulia akawa anatembelea bajaj!!!