Hapo bebe kasema rudisha nakununulia zingine kumbe ndo anakufilisi usimzidi kipato..omandede!
du Mondi nae chizi!
ahahahahah
mwanaume akuchuje alafu umrudishie mali zake
ode! sifanyi hio kitu
kama umenichuja mali ulizonipa ndio mshahara wangu
Mageni kwa sababu hufatilii amna labda ulikua chuo au shule tuacheni wazee tuwasimulie nanyi mkasimulie..ode!
wema anapanda bajaj?
haya yote yalitokea wakati sipo TZ nini?
Mbona kwangu mageni jamaa!
Maskiniii!Hapo bebe kasema rudisha nakununulia zingine kumbe ndo anakufilisi usimzidi kipato..
Wema alikua anampenda sana mondi mnooo
shule yangu iliisha 1994.. mwaka 97 nikapata Masters!Mageni kwa sababu hufatilii amna labda ulikua chuo au shule tuacheni wazee tuwasimulie nanyi mkasimulie..
Napenda sanaa na wasanii nawafatilia sana tuu!!!
Yametokea hapa Bongo Dsm
May be ataamka maana kapitwa maendeleo mpk na watoto wa juzi hadi shilole anamzidi Wema sasa hiviii!!!!!!!Maskiniii!
angekujaga kwangu ningemsaidia!
kiru! pole yake
ngoja tuone na nguo za watoto sijui itakuwaje
uuuwi majanga!May be ataamka maana kapitwa maendeleo mpk na watoto wa juzi hadi shilole anamzidi Wema sasa hiviii!!!!!!!
94 Niko std1 [emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]!!shule yangu iliisha 1994.. mwaka 97 nikapata Masters!
Alafu sijasoma Africa
huenda nilikuwa buzy na kulea watoto na shule.. doh asante kwa ubuyu
sikuwa Tz kabisa94 Niko std1 [emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]!!
May be hukua bongoo!!!
Ndo maana ana hasira sana maana maisha ameyachezea mnoo...alikua na wapambe jamanii mashoga sasa km woteee!!!uuuwi majanga!
That's why!!!!sikuwa Tz kabisa
Tz nimerudi 2012
kwahiyo yule KAJALA akaambulia nini sasa baada ya kwenda kwa CKNdo maana ana hasira sana maana maisha ameyachezea mnoo...alikua na wapambe jamanii mashoga sasa km woteee!!!
Makombo na alimpnagishia mbona...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]haianga makombo ileekwahiyo yule KAJALA akaambulia nini sasa baada ya kwenda kwa CK
au aliambulia makombo?
hahahahaMakombo na alimpnagishia mbona...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]haianga makombo ilee
Hajawahi fikia na hapa bongo nafikir labda Kyln kwa sasa ila hawa wengine hakunaaa....na hawawezi tena kufanya ujinga ulee!!!hahahaha
kwahiyo alikula kwenye meza ya Wema kama Wema au hakufikia level za Wema?
sa mbona Kajala mwenyewe sasa hivi anahangaika kuliko wema?
du hawa watoto jaman!
awamu hii hata chupi watauza!Hajawahi fikia na hapa bongo nafikir labda Kyln kwa sasa ila hawa wengine hakunaaa....na hawawezi tena kufanya ujinga ulee!!!
Na sio Tz tu East Africa hii Wema amekula maishaa
Watakua washakua wazee tayari..enzi hizo za kina tifah na baby fans[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]!!hawa wa sasa hivi hapana!!labda kuanzia 2026
sio Karne hii
awamu hii hata chupi watauza!
hatareeWatakua washakua wazee tayari..enzi hizo za kina tifah na baby fans[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]!!hawa wa sasa hivi hapana!!
Wauze chupi maana hali tete
Chupi kiungo muhimu acha wauze na tuuze tu nayo biashara tena kubwalabda kuanzia 2026
sio Karne hii
awamu hii hata chupi watauza!
sawaChupi kiungo muhimu acha wauze na tuuze tu nayo biashara tena kubwa
[emoji28] [emoji28]sawa