bitebo7
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 858
- 597
Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi
Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi
Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha ushindani
Hongera mtani, endelea kuliheshimisha taifa 🤝