Hongera mtani mpira sio uadui

Hongera mtani mpira sio uadui

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
597
Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi

Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi

Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha ushindani

Hongera mtani, endelea kuliheshimisha taifa 🤝
 
Mimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.

Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.

Mwenye akili afikiri.
 
Kombe la looser ambalo simba lilimshinda na jitihada zote za kutaka kuchoma uwanja
 
Walianzia kombe lipi na sasa wako kombe lipi?
Je , kipi kiliwatoa CAFCL hadi CAFcc ?
Tukipata majibu ya maswali hayo basi tuna haki ya kuwapongeza. Vinginevyo hizo ni porojo
 
Usipokubali kushindwa huwezi kujifunza Wala kubadilika na utaendelea kupigwa tu kama Ngoma maana hakuna namna, ndio ukikaidi utapigwa tu!
Kwa timu inayoshiriki kombe la losers simba akajifunze nini? Kama ni mwanaume kilichomtoa klabu bingwa hadi kwa ma loser wenzake ni nini? Simba iheshimiwe.

Tangu 1998 hadi leo hata makundi klabu bingwa hajawahi kufika halafu simba ajifunze kwake ? Simba atajifunza kwa Wydad , aly ahly , Mamelodi Esprens lakini siyo kwa timu za kombe la losers.
Yaani Form six akajifunze kwa std seven ? Huo ni udharirishaji
 
Walianzia kombe lipi na sasa wako kombe lipi?
Je , kipi kiliwatoa CAFCL hadi CAFcc ?
Tukipata majibu ya maswali hayo basi tuna haki ya kuwapongeza. Vinginevyo hizo ni porojo
Kolo lipo champions league ya JKT Ruvu kesho. Nadhani huko watakufa au watashinda kiume.
Hii ni aibu sanaaa.
 
Kolo lipo champions league ya JKT Ruvu kesho. Nadhani huko watakufa au watashinda kiume.
Hii ni aibu sanaaa.
Hilo ni kombe la losers, kombe la waliofeli. Mnataka kulipa ukuuuuuuubwa ambao halistahili. Huo ndiyo ukweli . Kama ulikuwa hujui hilo kamuulize Manara atakwambia ukweli wa hilo jambo
 
Back
Top Bottom