Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Exactly, huyu fisadi msomali KinanaAtakuwa ni kikwazo cha wanaofisadi mbuga zetu ndo maana katolewa kapelekwa machinjioni
Mentality ya ajabu hiyo....amemtoa kenye maziwa na asali na kupeleka kwenye desert, Kalahali desert!
"atakuwa"....Mwakilema atakuwa alikuwa mlinzi mzuri wa hazina,jambo ambalo makada na wapiga majungu(vetting team) hawapendi maana mashirika ya Umma ndiyo wachangiaji wakubwa wa CCM kwenye Uchaguzi.
Shida ya Wanyakyusa ni ubishi na kuwa wawazi!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Teuzi si kwa ajili ya kupandishwa na kushushwa mkubwa wangu [emoji120]