Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Ni mtumishi wa umma mwadilifu sana na mchapakazi wa hali ya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahama na salary yake ulijue hili
Kweli? Promotion hii kiboko!William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Ndugu yangu, ndo mentality za wengi Tz...mtu kateuliwa awatumike wananchi, lakini utasikia jamaa kaula' aiseee na ndio maana kila anayepata fursa hafanyi makosa...... kaazi kwelikweli.Mentality ya ajabu hiyo....
Huo ni UTUMISHI WA UMMA...
Hayo masuala ya fikra za asali ndiyo yanayotuumiza kufikia ubora zaidi....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Na mbaba wa watu alivyo nyooka na asivopenda siasa!Kuna sehemu atakua aliwazibia rizki sio bure, yani unatolewa kwenye ajira ya uhakika unaletwa huku ambako mfalme juha akipiga hata chafya unakua na wasi wasi wa kuendelea kuwepo ofisini 🤔🤔 amdindie kama baba katibu wa chama cha walimu
Kumbe huu msemo wa kupishana na gari la mshahara ni kweli ilikuwa inatokeadu huyu kapishana na gari ya Mshahara,kama vile enzi hizo unalipwa dirishani
Wewe ni bingwa msanifu wa kusanifu, Bwana Mwakilema ameondoka kwenye mabilion anapelekwa kwenye tumilion hahahaaa anaenda kuisoma namba.William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Ha ha ha !William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Miradi ya World Bank imemuondoa pale, alikuwa hasikii cha muadhini wala shekhe!Kuna waya kakanyaga sio bure
😆😆😆😆😆Hivi kapanda au kashuka
Kabisa kabisa yani wanaombeza hawamjui au wanajifurahisha tuNi mtumishi wa umma mwadilifu sana na mchapakazi wa hali ya juu.