mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ukiukataa yatakukuta ya ticha yule [emoji1]Hawezi hata kuukataa huu uteuzi.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiukataa yatakukuta ya ticha yule [emoji1]Hawezi hata kuukataa huu uteuzi.
Kapandishwa
Wewe unamjua vzr aisee yani yupo straightNa mbaba wa watu alivyo nyooka na asivopenda siasa!
Labda ni njia ya kumla kichwa kwa kuingilia mambo yao!!
Weeeee !!!!Nasikia wale jamaa waliotoa siri za gari la Kinapa kutumiwa na Mh flan wamebadilishwa wote.
Watamshangilia kuwa kapata uteuzi but in real sense kimasirahi imemega kwake, title sawa! Anaacha OC ya B1, Dev B 12 hadi Oc ya Mil 3, Dev 0. Anaenda kupiga magot kwa DED!William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Karibu sana Jukwaani Rosemary MwakitwangeKaka yangu Mwakilima ni heri heshima Kuliko wizi na fedheha, unaondoka huku kukiwa na taarifa za Wizi wa Nissan Patrol.ya Tanapa mpya, aliyojimilikisha aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Mkwe wa Rais, mpaka Sasa serikali imeshindwa kutoa maelezo ni Kwa Nini gari ya mradi Imebadilishwa namba mara mbili? Mwandishi wa Panorama kakamatwa na Sasa Mwalilema kapewa demotion. Tunataka Katiba mpya itakayowalinda watumishi kama Mwakilima na Maliasili na kuwawajibisha wezi waliovaa ngozi za kondoo kumbe ni mbwa mwitu wanaotumaliza.#NO2DPWorld Kongamano Mwanza kesho October 4, 2023 Vijana Center Mwanza kuanzia saa 4
.
Kapishana na gari la mshahara.Hivi kapanda au kashuka
Hivi kapanda au kashuka
DA POLE YAKE SANA AMESHUSHWA SANA CHEO JAMAA HUYO KAMISHNA WA TANAPA ANALAMBA MILLION 6 na kenda na posho za hatari hatari
Mshahara unabaki vile vile, hapo kakosa marupurupudu huyu kapishana na gari ya Mshahara,kama vile enzi hizo unalipwa dirishani
Umeshindwa kuelewa kwamba hiyo pongezi ni joking?Unampa hongera mtu Kutoka tanapa hadi mkuu wa wilaya
Wewe Nkwimba ni lazima utukane....Mnyakyusa mwenzako katolewa kwenye ulaji.Sijui aligusa maslahi ya Kinana ya kuuza pembe za ndovu?Au kagusa maslahi ya waarabu?
Hakika....Ndugu yangu, ndo mentality za wengi Tz...mtu kateuliwa awatumike wananchi, lakini utasikia jamaa kaula' aiseee na ndio maana kila anayepata fursa hafanyi makosa...... kaazi kwelikweli.
Ukizingatia waziri wake wa awali anaendelea kuwa waziri wake!Mshahara unabaki vile vile, hapo kakosa marupurupu
Ni kinyume cha kumkejiHivi kapanda au kashuka