Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Mentality ya ajabu hiyo....

Huo ni UTUMISHI WA UMMA...

Hayo masuala ya fikra za asali ndiyo yanayotuumiza kufikia ubora zaidi....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tatizo nyinyi ni wanafiki. Nani asiyependa mshahara, marupurupu mazuri? Wewe hutaki> Ukweli ndio huo. Kwanini CCM haitaki katiba mpya? wanajua kwa katiba mpya saa 12 asubuhi wako nje ya serikali...asali!
 
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Mkurugenzi wa TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa ccm , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Anahama na salary yake ulijue hili
 
Tatizo nyinyi ni wanafiki. Nani asiyependa mshahara, marupurupu mazuri? Wewe hutaki> Ukweli ndio huo. Kwanini CCM haitaki katiba mpya? wanajua kwa katiba mpya saa 12 asubuhi wako nje ya serikali...asali!
Hawawezi kuwa Nje ila itawapukutisha wengi.Hakuna chama Cha kushinda ccm Kwa Sasa huko upinzani
 
Ameweza kuamka kweli asubuhi hii?
Kwa mawazo yako hayo basi tuna safari ndefu sana.....

Teuzi ni kwa ajili ya kumsaidia MTEUA....

Hayo masuala ya "asali" ndiyo yanayokita KUKOSA UWAJIBIKAJI ,UMIMI ,UBAGUZI ,RUSHWA,UVIVU ,KUBEBANA ,UCHAWI ULIOTOPEA , MAJUNGU,UZANDIKI ,FITINA ,KUABUDIANA....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mawazo yako hayo basi tuna safari ndefu sana.....

Teuzi ni kwa ajili ya kumsaidia MTEUA....

Hayo masuala ya "asali" ndiyo yanayokita KUKOSA UWAJIBIKAJI ,UMIMI ,UBAGUZI ,RUSHWA,UVIVU ,KUBEBANA ,UCHAWI ULIOTOPEA , MAJUNGU,UZANDIKI ,FITINA ,KUABUDIANA....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukiwa na akili ndogo kama za kwako huwezi nielewa
 
Kilichomuondoa Mwakilema TANAPA ni uadilifu na misimamo ya kupinga vikali masuala yanayoenda kinyume na uhifadhi!

Pole sana Mhifadhi!

Kuna sehemu atakua aliwazibia rizki sio bure, yani unatolewa kwenye ajira ya uhakika unaletwa huku ambako mfalme juha akipiga hata chafya unakua na wasi wasi wa kuendelea kuwepo ofisini 🤔🤔 amdindie kama baba katibu wa chama cha walimu
 
Tatizo nyinyi ni wanafiki. Nani asiyependa mshahara, marupurupu mazuri? Wewe hutaki> Ukweli ndio huo. Kwanini CCM haitaki katiba mpya? wanajua kwa katiba mpya saa 12 asubuhi wako nje ya serikali...asali!
Hoja yangu ni hizo nafasi za utumishi wa umma.....

Nafasi ziko nyingi....mishahara na posho hailingani.....

Kwa mentality "usemayo" tunalijengaje taifa ?!!!

Tunawakuzaje "youngsters"?!!![emoji15]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu atakua aliwazibia rizki sio bure, yani unatolewa kwenye ajira ya uhakika unaletwa huku ambako mfalme juha akipiga hata chafya unakua na wasi wasi wa kuendelea kuwepo ofisini [emoji848][emoji848] amdindie kama baba katibu wa chama cha walimu
HISIA sio UHALISIA....

Hisia zako hizo[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hao vitengo wapo kwa kazi maalumu anaweza kupelekwa popote na maisha ya kutoa taarifa yakaendelea na baadae anakula shavu lingine huyu CAG aliwahi pelekwa Njombe huko na alitii baadae akapewa hicho cheo kipindi cha Uchaguzi hiki wanaunda Timu yao bila kujali wewe upo wapi utatolewa ili huku chini mambo yaende sawa...hakuna uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ambae atakua todauti na Mama..
 
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa ccm , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom